Aliapishwa 1837, katika utawala wake British Empire ilienea sana Afrika, New Zealand, na Australia. Baada ya kuapishwa kwake 1837 mwaka uliofuata British Empire ilitangaza kukomesha biashara ya utumwa katika himaya zake.Sijawah msikia huyu alihudumu katika karne ya ngapi?
Walitumia vioo kujikinga na baridi, hata nyumba walizojenga India kipindi hiki walitumia madirisha ya mbao kwasababu ya hali ya hewa.1. Huwa natamani kuamsha mjengo wenye muonekano huo au muonekano wa majengo ya zamani yaliyoko huko kwa malikia hata kama sio kwa ukubwa huo. Mdau mmoja akasema yanamuonekano wa mahekalu 😂😂
2. Najiuliza kwanini watu wamekomalia maghorofa ambayo kumwonekano ni kama yote yanafanana yani ni vioo kqemda mbere wao wanaita aluminiamu
3. Kwanini nyumba zetu zilizo nyingi tunabandika vioo vyenye muonekano sawa yaan vya ku slide hakuna dizaini nyingine?
Unashaufi nini wajengaji wa hapo dar ambao madirisha ya vioo imekua fasheni wakati baadhi yao hawana viyoyoziWalitumia vioo kujikinga na baridi, hata nyumba walizojenga India kipindi hiki walitumia madirisha ya mbao kwasababu ya hali ya hewa.
Inatusaidia nini?View attachment 1783251
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller, jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na vyumba vya kukala. Wafanya kazi walijumlisha House Keeper, Butlers, Chef, dereva na maids.
Ground Floor ilikua na reception, dining, na ballroom. Hapa ndipo familia iliishia, wanafamilia hawakuwa wanashuka kwenda basement. Dining iliweza kuchukua watu 20+ na baada ya chakula live performance iliwakaribisha ballroom.
Juu ilikua ni vyumba vya kulala.
Wengi walioishi maisha haya ni wafanya biashara na wakulima wakubwa. Wale waliofanya biashara za utumwa, kuuza nafaka na wakulima wakubwa.
Enzi hizi wajenzi wengi Afrika walikua ni Waarabu na Wajerumani. Waarabu ni wajenzi wazuri pamoja na Wareno.Hapo tungepata nyumba za matajiri wa Tanganyika kpiindi hicho ndipo mtu unaweza kupata jibu human evolution ilianzia upande upi wa dunia na ikamalizikia (kama kweli imemalizika) upande upi wa dunia!!
nasikia ni mmoja wa malkia wenye umri mdogo kwa kipindi hicho na mwingine alienda mbali zaidi kuwa kifo chake kilikuwa na utataAliapishwa 1837, katika utawala wake British Empire ilienea sana Afrika, New Zealand, na Australia. Baada ya kuapishwa kwake 1837 mwaka uliofuata British Empire ilitangaza kukomesha biashara ya utumwa katika himaya zake.
unataka kila kitu kikamsaidie mkulima kule kijijini?Inatusaidia nini?
Huna akili.unataka kila kitu kikamsaidie mkulima kule kijijini?
Double glazing ndiyo vioo vinavyozuia sauti na baridi. Ukiweka diuble glazing hata uwe unaishi kando ya barabara hutasikia sauti ya magari.Unashaufi nini wajengaji wa hapo dar ambao madirisha ya vioo imekua fasheni wakati baadhi yao hawana viyoyozi
NamasteHuna akili.
NamasteNamaste
Nyumba imejengwa kwa mbao kiasi kikubwa, ngazi,ukuta,sakafu,nguzo na limeezekwa kwa mbao(
Zamani kulikua na misitu mingi na mbao zilipatikana kwa irahisiNyumba imejengwa kwa mbao kiasi kikubwa, ngazi,ukuta,sakafu,nguzo na limeezekwa kwa mbao( wooden slats)
ziwa Victoria limeitwa hivo kwa sababu yakeSijawah msikia huyu alihudumu katika karne ya ngapi?