Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller , jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na vyumba vya kukala. Wafanya kazi walijumlisha House Keeper, Butlers, Chef, dereva na maids.
Ground Floor ilikua na reception, dining, na ballroom. Hapa ndipo familia iliishia, wanafamilia hawakuwa wanashuka kwenda basement. Dining iliweza kuchukua watu 20+ na baada ya chakula live performance iliwakaribisha ballroom.
Juu ilikua ni vyumba vya kulala.
Wengi walioishi maisha haya ni wafanyabiashara na wakulima wakubwa. Wale waliofanya biashara za utumwa, kuuza nafaka na wakulima wakubwa.