Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,219
- 36,211
Fuga paka, uone kama hatoihama nyumba
Aahahahahahaa ulifikiri nimetishika aaahahahahaa waaapiiiii siogopi wala nini...
Ukiwa unapiga kiwi cha macho tuu haina kweree 😅😅
Fuga paka, uone kama hatoihama nyumba
Hawa wanafamilia waliishi kama wako hotelini. Ukiamka asubuhi maids wanatandika kitanda, ukimaliza breakfast mnatoa oder ya lunch na dinner.Kwanini wanafamilia walikuwa hawashuki kwenda basement..!??
Hawa wanafamilia waliishi kama wako hotelini. Ukiamka asubuhi maids wanatandika kitanda, ukimaliza breakfast mnatoa oder ya lunch na dinner.
Mara nyingi lunch ni sandwiches na matunda lakini dinner ni proper meal familia yote inakaa mezani na baba anaweza kukatisha mkutano ili awahi kula na familia.
Mke ndiyo house manager, ndiye mlipaji mishahara ya wafanyakazi, mnunuaji wa uniforms, mpangaji wa likizo na kuandika references kwa wanao acha kazi.Family Rules
Table Manners
Family Cultures and Taboos
Were easily adopted from one generation to another.
Kwa mfumo huo huhitaji kuwa mama wa nyumbani, unachapa kazi mashambani huko.
Mke ndiyo house manager, ndiye mlipaji mishahara ya wafanyakazi, mnunuaji wa uniforms, mpangaji wa likizo na kuandika references kwa wanao acha kazi.
Ninayo hapa kwenye studio apartment yanguDouble glazing ndiyo vioo vinavyozuia sauti na baridi. Ukiweka diuble glazing hata uwe unaishi kando ya barabara hutasikia sauti ya magari.
Yah chef akichelewesha chakula ni lazima awe na sababu ya kumueleza madam, na mke alitakiwa kupendeza na kuwa host mzuri kukiwa na wageni. Kumbuka kuna business dinners za kuhost.Aiseeh, safi lakini it’s indirect house wife managing others to do what and how you want it to be done.
Naanza kukuandikia mashairi utayakuta mezani ♥️💌Aahahahahahaa ulifikiri nimetishika aaahahahahaa waaapiiiii siogopi wala nini...
Ukiwa unapiga kiwi cha macho tuu haina kweree 😅😅
Yah chef akichelewesha chakula ni lazima awe na sababu ya kumueleza madam, na mke alitakiwa kupendeza na kuwa host mzuri kukiwa na wageni. Kumbuka kuna business dinners za kuhost.
Besti ila huyo malkia victoria alikuwa maarufu sana. Lakini ikifika kwenye kulea watoto wake alikuwa hovyo sana. Alikuwa na mapacha akamuajiri kijakazi hili awanyonyeshe yeye hakutaka kuwanyonyonyesha. Alinyanyasa sana Kijakazi naye alikuwa na watoto wawili wadogo akawa mda mwingi alikuwa akiwanyonyesha watoto wa malkia lakini wa kwake alizuiwa kuwanyonyesha mara kwa mara . Alishikwa na stress na kucommit suicide pamoja na watoto wake kwa kuwachoma kisu kwasababu watoto wake walikuwa malnourished na wa malkia victoria walikuwa wenye afya. Inasikitisha sana. Picha hapo chini ni victoria na mapacha wake.View attachment 1783251
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller, jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na vyumba vya kukala. Wafanya kazi walijumlisha House Keeper, Butlers, Chef, dereva na maids.
Ground Floor ilikua na reception, dining, na ballroom. Hapa ndipo familia iliishia, wanafamilia hawakuwa wanashuka kwenda basement. Dining iliweza kuchukua watu 20+ na baada ya chakula live performance iliwakaribisha ballroom.
Juu ilikua ni vyumba vya kulala.
Wengi walioishi maisha haya ni wafanyabiashara na wakulima wakubwa. Wale waliofanya biashara za utumwa, kuuza nafaka na wakulima wakubwa.
Upper class girls walikwenda Ufaransa baada ya kumaliza darasa la nane. Kule walijifunza Kifaransa, na jinsi ya ku host wageni, kupaka make up, basic book keeping etc. Mara nyingi wachumba walipatikana katika ballroom dancing.Aiseeh hii ni ajira tosha ilipaswa mama naye ajitengee mshahara.
Course fupifupi za house management itakuwailikuwa kigezo cha kuchumbiwa 😅.
Ukifika hayo maeneo ulizia kwa mzee MamboNtapita hapo wiki ijayo.
Inasemekana pia alikua na mahisiano wa kimapenzi na kijakazi kutoka Pakistan enzi hizo ikiwa bado India aliitwa Abdul.Besti ila huyo malkia victoria alikuwa maarufu sana. Lakini ikifika kwenye kulea watoto wake alikuwa hovyo sana. Alikuwa na mapacha akamuajiri kijakazi hili awanyonyeshe yeye hakutaka kuwanyonyonyesha. Alinyanyasa sana Kijakazi naye alikuwa na watoto wawili wadogo akawa mda mwingi alikuwa akiwanyonyesha watoto wa malkia lakini wa kwake alizuiwa kuwanyonyesha mara kwa mara . Alishikwa na stress na kucommit suicide pamoja na watoto wake kwa kuwachoma kisu kwasababu watoto wake walikuwa malnourished na wa malkia victoria walikuwa wenye afya. Inasikitisha sana. Picha hapo chini ni victoria na mapacha wake. View attachment 1785107
Upper class girls walikwenda Ufaransa baada ya kumaliza darasa la nane. Kule walijifunza Kifaransa, na jinsi ya ku host wageni, kupaka make up, basic book keeping etc. Mara nyingi wachumba walipatikana katika ballroom dancing.
Ukifika hayo maeneo ulizia kwa mzee Mambo
Kiongozi hii ni historia
Kwanza ilikua ni bahati sana kuolewa na mtu ambae si wa class yako lakini elimu ilibadilisha mambo mengi. Baada ya wasichana wengi kwenda university kule mnakutana watu tofauti. Hata wazazi wao wakiwakataa mnaweza kuishi kwa mishahara yenu.Aiseeh, maisha yamebadilika sana.
Culture change from one generation to another by people copying other people life style and abandon theirs.
Kuna clip moja ya Jackie Chan anahojiwa nimechekaa.
Ni watu wachache sana wamefanikiwa kuendeleza their Family culture.
Nimewaza wale waschana ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuwapeleka wakasome hizo courses, waliolewa na familia za chini wenzao.
Kwanza ilikua ni bahati sana kuolewa na mtu ambae si wa class yako lakini elimu ilibadilisha mambo mengi. Baada ya wasichana wengi kwenda university kule mnakutana watu tofauti. Hata wazazi wao wakiwakataa mnaweza kuishi kwa mishahara yenu.