youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
mnataka
chanzo chanini?
chanzo chanini?
Source page ya masanja ya facebook kutokuona wewe haimaanishi kuwa hajaposti.
Sanaa inalipa...
mnataka
chanzo chanini?
Hii faida ya kukata mauno kwenye mikutano ya maccm.
Mkuu nazani hawa vijana wa madawa ya kulevya watakuwa wameupata ujumbe wako.
Mbona nimeweka source hapo mwanzo kabisa? na hizi ni picha 2 tofauti au wewe unaona ni 1 tu?
source again
https://www.facebook.com/photo.php?...87821002.69207.322607094504728&type=1&theater na
https://www.facebook.com/photo.php?...87821002.69207.322607094504728&type=1&theater
Hii faida ya kukata mauno kwenye mikutano ya maccm.
kudos kwa kujikomboa baada yanjaa kali..
Hiyo nyumba mbona ya kawaida sana. Watu wengi humu inaelekea ni maskini sana.
Ana mke au mchumba?
Sana tu.Asante mkuu nimeshaona!
Safi sana,
Mfano wa kuigwa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kumtegemea Mungu inalipa na kuwa na akili za maana sio hao wanaojitundika kwenye kaunter madem na misifa lakini hawana akili bado wanategemea mama zao na uzee so Masanja i salute you man keep going nakutakia mafanikio zaidi ya hayo mpaka ushangae ila si-salute chama chako!!!