Nyumba za Masanja Mkandamizaji

Hongera sana Kijana, wengine waige mfano waache kujionyesha kwenye mabar na kwenye magazeti ya udaku kwa vitu vya kuazima.
 
Hiyo nyumba mbona ya kawaida sana. Watu wengi humu inaelekea ni maskini sana.

nyumba ya kawaida lakini ni hatua kapiga wasanii wangapi wako wanashindwa kufanya kama yeye... Wanapofanya vizuri tuwape hongera zao acha wivu we ndo maskini wa fikra
 
Za BEPARI la KIHAYA sina, but hawa jamaa wako serious na life.

Bepari la kihaya yupo fresh nae ana nyumba kubwa na mabanda ya uani na kazungusha fensi uwanja wote ipo barabarani ukifika kibada stand njia ya kwenda daressalaam zoo kama meter 200 ktk kibada kushoto utaona nyumba ina bati la kijani na fense....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom