Wasanii wengine amkeni na nyie.
source:
https://www.facebook.com/photo.php?...87821002.69207.322607094504728&type=1&theater
and https://www.facebook.com/photo.php?...87821002.69207.322607094504728&type=1&theater
Hiyo nyumba mbona ya kawaida sana. Watu wengi humu inaelekea ni maskini sana.
Hiyo nyumba mbona ya kawaida sana. Watu wengi humu inaelekea ni maskini sana.
Hao wanapata hela nyingi tu, huyo kafanya kitu chenye akili.Kuna mwingine amekunywa pombe mpaka amezima kwa takriban miaka miwili sasa utafikiri yule waziri mkuu wa ISRAEL.Hongera sana Masanja na wasanii wengine waige si kulewa pombe, madawa na uzinzi tu. Mnaleta aibu sana katika jamii.
Mi mganga wangu kaniambia nikijenga nyumba nitakufa, ndio maana sina mpango huoweka nz zakwako unabandika za wanaume wenzio tuu
weka nz zakwako unabandika za wanaume wenzio tuu
Akianza kuumwa atauza nyumba au atapisha bakuli kila ck?
sema kwa sauti kubwa sio kama dudu imezama...
nyumba ya kawaida lakini ni hatua kapiga wasanii wangapi wako wanashindwa kufanya kama yeye... Wanapofanya vizuri tuwape hongera zao acha wivu we ndo maskini wa fikra
Chanzo cha mapato siyo inshu, watu wanavyo vyanzo vya mapato lakini hawana hata chumba kimoja.