Nyumba za kupanga ni degree tosha

Kuna mshkaji wangu alikua anakaa huko tandale kwa tumbo, siku moja akasafiri. Usiku wa siku aliyosafiri,wazee wa kazi wakafumua bati wakakomba kila kitu TV,radio,kitanda n.k mpaka carpet . Siku aliyorudi anafungua mlango akakuta kweupe pee,walimwachia mswaki na kitana tu
Aisee kwani alikuwa anaishi peke yake??? hakuna jirani???
 
Kwanza ukipika kitu kama nyama hivi ukatoka kidogo Ku endelea na mambo mengine utasikia fulan nyama yako tamu ukimuuliza umejuaje ni tamu
Anakwambia harufu yake tu inaonyesha ni tamu ukimuangalia mdomon anatafuna inabidi upotezee
Sasa kuna mmoja alikamatw na house girl akiiba nyama kwenye jungu lao akiwa katika harakat za kuiba ilenyama ikamshinda ilikuwa ya moto ilibidi airushie kwenye ndoo ya Maji ili kuipooza beki tatu kuona vile ilibidi amwite Dada yake kumtaarifu wanadokolewa nyama kwa jungu lao kilichofuata ni mtifuano maana Dada mwenyewe alikuwa afande
 
Naoika nyama ya paka tuu, halafu najifanya nipo bussy na mambo mengine, nawaacha wadokoe wakimaliza ndio nawaambia hiyo nyama ya nini
 
Aise balaa hiloo
Kwanza ukipika kitu kama nyama hivi ukatoka kidogo Ku endelea na mambo mengine utasikia fulan nyama yako tamu ukimuuliza umejuaje ni tamu
Anakwambia harufu yake tu inaonyesha ni tamu ukimuangalia mdomon anatafuna inabidi upotezee
Sasa kuna mmoja alikamatw na house girl akiiba nyama kwenye jungu lao akiwa katika harakat za kuiba ilenyama ikamshinda ilikuwa ya moto ilibidi airushie kwenye ndoo ya Maji ili kuipooza beki tatu kuona vile ilibidi amwite Dada yake kumtaarifu wanadokolewa nyama kwa jungu lao kilichofuata ni mtifuano maana Dada mwenyewe alikuwa afande
 
Kwanza ukipika kitu kama nyama hivi ukatoka kidogo Ku endelea na mambo mengine utasikia fulan nyama yako tamu ukimuuliza umejuaje ni tamu
Anakwambia harufu yake tu inaonyesha ni tamu ukimuangalia mdomon anatafuna inabidi upotezee
Sasa kuna mmoja alikamatw na house girl akiiba nyama kwenye jungu lao akiwa katika harakat za kuiba ilenyama ikamshinda ilikuwa ya moto ilibidi airushie kwenye ndoo ya Maji ili kuipooza beki tatu kuona vile ilibidi amwite Dada yake kumtaarifu wanadokolewa nyama kwa jungu lao kilichofuata ni mtifuano maana Dada mwenyewe alikuwa afande
Haha hahaaaaaaaa yani kama vile CHOPEKO NA MNOFU
 
Nyumba za kupanga bwana
Unapika mwenzio anasubiria umalize kula afunue vyombo aoene umekula nin
Ukitoka kwenda kazin wenzio watataka kukuona umevaaje hata aliyechooni lazima Stoke
Ukirud kama unakimzigo watataka kujua umebeba nin
Usiombe kupanga nyumba funguo zinaingiliana alafu wew hujui utajuta unashangaa vitu vinaisha ndani taratibu
Ukitoka kutupa uchafu au mabaki ya chakula mwenzio anaenda chungulia umetupa nin
 
Back
Top Bottom