Nyumba za kupanga ni degree tosha

Mshua alipangaga mahali hivi,mama mwenye nyumba ni bahili mno alikuwa anaachiwa pesa ya mboga na mmewe lakini yeye mboga hapiki. Ikifika tu mida ya saa saba saba utasikia "shiimboni, utakua na akiba ya mchuzi kidogo baba angu ?". Nyumba ilikua inawapangaji wengi sana zaidi ya kumi, akikuomba mboga leo ,kesho haji tena anaenda kwa mwingine. Wiki ijayo anaanza tena na yule aliyemuomba mwanzo wa wiki iliyoisha. Kuna watu hawajaumbwa na aibu asee,daily anazunguka na bakuli lake kuomba mboga kwa wapangaji. Mumewe alipokuja kupata taarifa,mwanamke alipigwa mikanda ya maana wachaga wanakung'uta sio poa. Tangu siku hiyo hakurudia tena tabia yake ya kuzunguka na bakuli kwa wapangaji
 
Hakuna kutumia pasi, fridge...ukiwasha tu pasi umeme unakata nyumba nzima! Mtoto wa mwenye nyumba kafeli form four mama yake anakuwa anamtuma kwako aje kukuletea chakula na anamuambia akuulize kama una nguo chafu akusaidie kufua! Ukigusa tu shekhe yuko nje na ubani na mashahidi....
 
Njoo Tandale
Wiki ijayo naachia chumba

Hapa umeme raundi ni 1000 kila mtu,
Tupo 9 na mwenye nyumba ni wa 10,

Maji tunanunua kwa mwenye nyumba ndoo 150

Usafi haubagui unafagia mpaka uwani kwa mwenye nyumba,

Ukipika chakula unagawa nyumba kubwa

Ukipendeza uwe tayari kwa interview,ukipauka ujiandae kwa madongo

Karibu Tandale, nahamia komakoma
 
Mi niliishi maandazi Rd msasani nyumba yote wapemba tupu kasoro Mimi, nikirudi mida yangu saa 5 Hadi 7 usiku nikifika najiandaa kuoga bafu halikuwa na paa unaingia bafuni mlangoni bonge la paka nyuma ya nyumba makaburi kibao ukiweka sabun ukigusa ukuta tu unapigwa shoti ya umeme balaa, chumbani kwangu kumbe faza hausi was urithi huwa Ana funguo wake akitoka chanika anakuja kulala mchana chumbani kwangu na kusikilizia mziki nilikuwa na Sony music double speaker akaiba spika moja nikamdai akapotezea akaleta friza yake ndani yaani akaanza kunifukuza pole pole nikaamua kuhama na redio yangu na spika 1 iliyobaki na friji lake nikabeba ngoma ikawa droo...***** hapa nilipo Nina PHD ya nyumba za kupanga dar, mza na tanga
tanga nako kuna balaa ila sio km dar!
 
Nilipanga nyumba moja maeneo ya Argentina sasa mwenye nyumba ni mmama anaishi na mwanae wa kike na mdogo wake kila siku vitimbi aisee Mara kufagia mara oooh mbona hatumuoni wifi Mara mkwe yote ilikuwa zuga nikaona ushenzi huu nikachapa kuanzia mama,mtoto,na mdogo wa mama mwenye nyumba siku sikia tena hata kudaiwa kodi mwisho wa siku nikahamia kimara nikaona watashtuka sinaga mazoea ya kijinga
hii mbaya mkuu
 
Naoika nyama ya paka tuu, halafu najifanya nipo bussy na mambo mengine, nawaacha wadokoe wakimaliza ndio nawaambia hiyo nyama ya nini
Uwwwiii hiyo nyama unaipika kwenye sufuria ya nani ???na utaitoa WAP???hapo utakuwa unajikomoa mkaa unapotea bure kuchemsha nyama ya paka
Na sufuria lazima uitupe
 
Majitu ya hivo hua yananikera kinoma, unalala zako linakuamsha.au unaend kuoga mnakutana linauliza ndio unaamka saivi ?
Leo Jumamosi nimelala hadi saa mbili ile nashtuka toka kwenye usingizi mzito namsikia baba mwenye nyumba " Hivi inawezekana mpaka saa hizi mtu hajaamka?" kisa sijazima taa za nje, yaani kanikera! yaani nisilale kisa taa? usipowasha maneno anakugongea, jamani, nyumba za kupanga sio.
 
Mji mkubwa kuna kama nyumba tatu bubwa na zote Zina wapangaji wengi tu, hatufahamiani kila mmoja na hamsini zake, wapangaji wengi ni wanavyuo.

Chumba cha jirani yangu alikuwa amepanga dem fulani hivi miss mtata hatari, alikuwa na mtoto hvyo alikuwa anaitwa mama Paul.

Huyu demu alikuwa kichomi haswa yeye deile alikuwa hapitishi hata usiku mmoja bila kuleta jidume ndani, basi usiku ni milio mikali kama wacheza X.

Halafu dari halikuwa na silngbord,mikelele yote kwangu aiseee alikuwa ananitesa sana hyu Dada, kurudi kwake midnight tena anakugongea dirisha umfungulie geti hata akirudi saa 9 za usiku, nilikuwa single wakati huo.

Asubuhi yeye na kanga moko halafu ndani hajavaa chupi, akifua chupi anazianika kwenye kikamba cha korido, basi bwana unaambiwa hapo utaona kila dizaini ya chupi, Mara bikini, Mara za chandarua yani ni full majaribu.

Siku moja katoka kuoga, kavaa kanga moja tena maksudi kailoanisha chepechepe,kama kawaida yake havaagi chupi, mbaya zaidi anavunga kufagia korido yuko vilevile, kainama kiuno unaona vyote,
Kinajisemea lakn huu ni ufala, nikampangia siku yake ili nimnyoshe adabu.

Siku mbili mbele, akanigongea mlango eti nkamsaidie kupachika balbu chumbani kwake sababu ilkuwa imeungua, nikaenda kavaa vilevile kama anavyovaaga looh.

Mara nyodo akaanza niletea, nilimfurumisha humo chumbani kwake masaa matatu ya nguvu.

Mpaka nahama hapo hakuniletea tena nyodo za kijinga maana nilimpa alichotaka kutoka kwangu.
 
Mshua alipangaga mahali hivi,mama mwenye nyumba ni bahili mno alikuwa anaachiwa pesa ya mboga na mmewe lakini yeye mboga hapiki. Ikifika tu mida ya saa saba saba utasikia "shiimboni, utakua na akiba ya mchuzi kidogo baba angu ?". Nyumba ilikua inawapangaji wengi sana zaidi ya kumi, akikuomba mboga leo ,kesho haji tena anaenda kwa mwingine. Wiki ijayo anaanza tena na yule aliyemuomba mwanzo wa wiki iliyoisha. Kuna watu hawajaumbwa na aibu asee,daily anazunguka na bakuli lake kuomba mboga kwa wapangaji. Mumewe alipokuja kupata taarifa,mwanamke alipigwa mikanda ya maana wachaga wanakung'uta sio poa. Tangu siku hiyo hakurudia tena tabia yake ya kuzunguka na bakuli kwa wapangaji
😁😁
 
Nyumba yenye wapangaji zaidi ya 4 sio Nyumbaaa ya kupanga aisee....Nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo Sio nyumba ya kupanga....Nyumba ambayo kuna wapangaji au mpangaji wa kirangi mdada ukipanga jiandae Kwa vita na maneno kama huwezi usipange......
Mgambo boy umepanga lini wewe?
 
This morning nimetumiwa text na maza house"kumbe upo naona taa ya nje bado inawaka mpaka saa hizi"

Back
Top Bottom