Nyumba yangu inapigwa mnada na NMB

It's almost about 7M. Kwa haraka haraka niliwaza kuwauzia CRDB hili Deni ili nianze kukatwa kwenye mshara wangu. Nawaza kufanya hivi coz mshua Mambo Ni mabaya mno kwake

Sasa kumbe jibu na njia unayo...yanini kutuumiza macho wana wa wenziooo
 
Baba yako Hawezi kukopea nyumba yako bila ww kujua ikiwa hivyo maana yake kuna jinai ndani yake unaweza kuwashtaki baba pamoja na nmb na ukapata mpunga wa maana sana..........
Bank hawachukui hati inasoma jina la mtu mwingine huyu muongo. Pia kabla yakuuza Nmb walimpa notice ya siku 60 akazarau. Kapewa dalali akaleta nitice yasiku 7 wakazarau .wakatolewa kwenye gazeti wakazarau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali

1. Nyumba ni yako mwenyewe?

2. Wakati Mzazi wako ( baba) anakopa wewe pamoja na mkeo mliridhia Mzazi wenu aitumie nyumba hiyo Kama dhamana?

3. Je! nyumba ni mali ya wanandoa au ni nyumba inayotokana na chumo la mmoja yaani mme/mke?

4. Je! ni hatua zipi binafsi zilifanywa na Mzazi wako baada ya kukwama marejesho Bank?

Njoo na majibu tuanzie hapo kiongozi....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom