Degelingi_One
Member
- Nov 17, 2018
- 72
- 121
Alisahau kuwa fedha haina unduguMwambie baba alipe deni la mkopo, lakini wewe kwanini umruhusu achukulie mkopo nyumba yako?
Hivi mkuu nikikopa kwa kutumia mshahara wangu kisha nikaacha kazi ghafla huwa inakuaje?Dawa ya deni ni kulipa kwa nn hukukopa kutumia mshahara wako ukampa baba ako fedha mkadaiana wenyewe?kumbuka fedha haina undugu dingi kashindwa rejesho maumivu unayapata wewe
It's almost about 7M. Kwa haraka haraka niliwaza kuwauzia CRDB hili Deni ili nianze kukatwa kwenye mshara wangu. Nawaza kufanya hivi coz mshua Mambo Ni mabaya mno kwakeNenda mahakamani chukua zuio la mahakamani. Wakati kesi inaunguruma na nyie mnapambana kulipa deni. Yaani zuio la mahakama ni kwa ajili ya ku buy time tuu wakati mnajipanga kulipa
Unakamatwa ghaflaHivi mkuu nikikopa kwa kutumia mshahara wangu kisha nikaacha kazi ghafla huwa inakuaje?
Ebo hebu relax!... huko huu washakushauri uende mahakamani kupata zuio...Hapana!!. Wapo Sahihi Ila Mimi ninaomba ushauri nifanyaje!!?
Mshua antii
Unapiga hesabu kuiingiza benki hasara kisha usepeHivi mkuu nikikopa kwa kutumia mshahara wangu kisha nikaacha kazi ghafla huwa inakuaje?
ulitoa zuio kwa kutumia sababu zipi?Mie nmb walitangaza nyumba access bank wakatangaza magari ila nikasolve kwa zuio la mahakama na leo nipo huru nimelipa kote na nimepumzika mikopo kwa miaka mitatu sasa. Na sina mpango wa kukopa mpaka mambo yakae vzr
Kumbe una solution tayari, fanya huu uamuzi umalizie deni la watu. Au nenda NMB Uhamishe deni kwako.It's almost about 7M. Kwa haraka haraka niliwaza kuwauzia CRDB hili Deni ili nianze kukatwa kwenye mshara wangu. Nawaza kufanya hivi coz mshua Mambo Ni mabaya mno kwake