CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Nenda Mwanza kwa kina charminglady ukaone show.. mbona hiyo cha mtoto...!
Mwambie yaan huku tushazizoea ati!!!!!!!!!!!
Nenda Mwanza kwa kina charminglady ukaone show.. mbona hiyo cha mtoto...!
Utawahi kutoka ? Jiwe litakuwa limneshakukandamiza na utakuwa kama chapati hahahahahah.Mimi naishi tu ila ikitokea tetemeko la ardhi nawahi kutokea dirishani