Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Likikuangukia huponi unakuwa kama chapati.................Mkuu hilo jiwe si ni hatari sana?
Nalog off
ukiambiwa ulale kwa wiki moja utapewa Dollar laki moja utakataa kulala? Nalog Online..........................Dah! hapo silali hata kwa fimbo
Nalog off
Hapo nitalala najua zitanisaidia kwenye mchakato wangu wa kuanza kuwa fisadi.ukiambiwa ulale kwa wiki moja utapewa Dollar laki moja utakataa kulala? Nalog Online..........................
Likikuangukia huponi unakuwa kama chapati.................
Je kama likianguka jiwe na umekufa kabla ya hiyo wiki moja kumalizika itakuwaje?Hapo nitalala najua zitanisaidia kwenye mchakato wangu wa kuanza kuwa fisadi.
Nalog off
Linaangushwa na Mtetemeko wa Ardhi angalia video hapo chiniLinaangushwa na nini kwa mfano?
Haliwezi kwasababu nitamwomba Mungu kabla ya kuingia humo ndani.Je kama likianguka jiwe na umekufa kabla ya hiyo wiki moja kumalizika itakuwaje?
Utaweza kuishi ndani ya hii nyumba Mkuu kadakokigondile?Haipangishwi? maana natafuta nyumba muda mrefu sijapata
Nyumba ya ajabu ipo nchini Portugal Ureno.duh hiyo kali
ukiambiwa ulale kwa wiki moja utapewa Dollar laki moja utakataa kulala? Nalog Online..........................
Huogopi wewe kuangukiwa na hilo jiwe kubwa?Me ntawaongezea nitalala week 2, wazilete hzooo pesa