Kubadili nyumba iwe ya box. Je itawezekana kuunganisha na sijaacha matoleo?

jsang

Member
May 2, 2015
10
1
Lengo ni kuiongeza chumba cha kulala na dinning room na kupanua jikon, pamoja nipate na store, . Ilivyo kwasasa ndio hivyo Ktk picha na ramani ya sasa ndio hiyo iliyozungushiwa rangi nyekundu na ninavyoitaji iwe ni hiyo ramani ambayo haina rangi
Iwe ya box kama hiyo chini
Msaada kwa wale wataalam na wazoefu Ktk ufundi
IMG-20210430-WA0016.jpg
IMG-20210430-WA0015.jpg
Polish_20210430_125304636.jpg
IMG_20210414_143642_846.jpg
Screenshot_20210430-145848.jpg
Screenshot_20210430-150234.jpg
Polish_20210501_015436495.jpg
 
Nataka iwe contemporary house itagharimu gharama kiasi gani kea ufundi wa kujenga na kupauaaa
 
Back
Top Bottom