chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,727
Wale wapenzi wa cartoon hapa mtakuwa mshajua cartoon ya the simpsons.
Kipindi hiki kilianza : 17 Desemba 1989
Mtayarishi wa kipindi: Matt Groening
Mtunzi huyu yupo nyuma ya nani kueleza wakati mda yanaelezwa kwenye kipindi chake ndio yanaotokea kama gonjwa la corona,kuwa na mgombea mwanamke marekani,kifo cha flyoid,vurugu za marekani kipindi cha dornad trump,majengo pacha kulipuliwa na vingi.
Mfano
Episod moja inaonyesha wachina wakisambaza ugonjwa wa hewa na kusabibisha kutapakaa gonjwa hilo kwa makusudi na leo ni kweli (covid-19)
Episod fulani inaonyesha kunapolisi sehemu ya cartoon hii alikuwa anawachukia watu weusi na kuwafanyia kama kile kitendo alicho fanyiwa flyoid george wakati huku bango kwenye cartoon likuwa lina mwisho wa george tu 2009.
Episod moja huko marekani mwaka 2020 walishawahi kukata kichwa cha sanamu ambalo sijui alikuwa na mchango gani ?
Kuna episod moja hii naweza kuipa asilimia kubwa ikionyesha karatasi ikianza pesa $9 mwisho mchoro (9/11)
Na kweli na hiyo ndiyo ilikuwa tarehee ya shambulizi.
Episod moja binti wafamilia ya hiyo cartoon alikuwa anaonyesha kutaka uraisi.na leo wanawake wengi marekani wamejaribu kugombea.
Hii episod inaonyesha kuwa kuna raisi kichaa ambaye ndio tramp na ilimtabiri ikawa kweli na kuonesha ushirikiano kati ya waarabu ambayo saudia
Zipo nyingi sana.
Sasa watu wengi wanasema huyu mtunzi yupo nyuma ya nani