Nyumba ya tamthilia ya The simpsons nani anaratibu kuwa miaka ya mbele kutakuwa hivi na ni kweli!

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,193
2,000
Wale wapenzi wa cartoon hapa mtakuwa mshajua cartoon ya the simpsons.
IMG_7937.jpg

Kipindi hiki kilianza : 17 Desemba 1989
Mtayarishi wa kipindi: Matt Groening

Mtunzi huyu yupo nyuma ya nani kueleza wakati mda yanaelezwa kwenye kipindi chake ndio yanaotokea kama gonjwa la corona,kuwa na mgombea mwanamke marekani,kifo cha flyoid,vurugu za marekani kipindi cha dornad trump,majengo pacha kulipuliwa na vingi.

Mfano
IMG_7946.jpg

Episod moja inaonyesha wachina wakisambaza ugonjwa wa hewa na kusabibisha kutapakaa gonjwa hilo kwa makusudi na leo ni kweli (covid-19)

IMG_7940.jpg

Episod fulani inaonyesha kunapolisi sehemu ya cartoon hii alikuwa anawachukia watu weusi na kuwafanyia kama kile kitendo alicho fanyiwa flyoid george wakati huku bango kwenye cartoon likuwa lina mwisho wa george tu 2009.

IMG_7939.jpg

Episod moja huko marekani mwaka 2020 walishawahi kukata kichwa cha sanamu ambalo sijui alikuwa na mchango gani ?

IMG_7945.jpg

Kuna episod moja hii naweza kuipa asilimia kubwa ikionyesha karatasi ikianza pesa $9 mwisho mchoro (9/11)

Na kweli na hiyo ndiyo ilikuwa tarehee ya shambulizi.

IMG_7942.jpg

Episod moja binti wafamilia ya hiyo cartoon alikuwa anaonyesha kutaka uraisi.na leo wanawake wengi marekani wamejaribu kugombea.

IMG_7941.jpg

Hii episod inaonyesha kuwa kuna raisi kichaa ambaye ndio tramp na ilimtabiri ikawa kweli na kuonesha ushirikiano kati ya waarabu ambayo saudia

Zipo nyingi sana.

Sasa watu wengi wanasema huyu mtunzi yupo nyuma ya nani
 
Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
1,866
2,000
Kuna watu au naweza sema conspiracy theorists.

Wenyewe wanasema kwamba hapa duniani kuna kundi la watu wachache ambao wao ndio wanaamua na kuongoza kila kitu.

Na wengine wanasema kwamba kuna watu wenye access ya moja kwa moja na elimu pana ya laws of the universe, elimu ambayo ni forbidden kujulikana na ni obscure.

Mimi siamini lakini kutoamini kwangu hakufanyi hicho kitu kisiwe kweli.

Hivyo inawezekana huyo matt groening ni moja wa hao watu wanaotuma ujumbe in indirect way.
au ni coincidences even though haishawishi sana kusema ni coincidence.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,164
2,000
Ninahisi mambo mengi uliyoyataja hajatoka kwenye hizo cartoon bali yametengenezwa baada ya kutokea kuonyesha kuwa yametoka hizo cartoon. Yani picha zimetengenezwa siyo aprt ya hizo cartoon. Ndiyo yapo mengi yametabiriwa na Simpsons, lakini picha nyingi ulizotumia hapo juu ni fake
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,687
2,000
Sio kihivyo, hizo picha baadhi hapo zimetengenezwa baada ya matukio halisi kufanyika, na baadhi hapo wala hazina mchezo wenye maudhui hayo ya moja kwa moja.

Ukiacha machache kama hilo la binti wa Hommer Simpson (Lisa) kuwa President n.k..walitumia kama prediction ya future President kwani Character ya Lisa kwenye Simpson ni Mtoto....ingawa pia alimtaja Trump kama Raisi aliyepita na ilikuwa kabla ya Trump kuwa raisi...kwa hapo walau waligonga.

Baadhi ni maelezo ya kuungaunga tu kama ya wale motivational speakers, ambayo mengine inakubidi kutumia nguvu ya ziada kuunganisha dots.

Ofcoz coincidence hutokea, mfano kama hii episode ya 'Everybody hate Chris' ya 2005, walizungumzia tatizo kama la covid 19 la sasa.
 
Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,092
2,000
Daah moja ya tamthilia yenye season ndefu duniani .. season Kama 32 si mchezo

Moja ya kipindi kilichoonyeshwa kwa mda mrefu kwenye cable tv Chanel Toka miaka ya themanini sio mchezo maana siku hizi hizi programu zinakuwa cancelled kutokana na viewer

Ni moja ya successful animation tv series ya Matt Groening na dunia kiujumla ukiachana kazi zake kama ile animation ya Futurama .Of course hakuna utabiri wala conspiracy theories Ni coincidence tu zinatokeaga
 
Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
527
1,000
Niliwaambia kwenye uzi fulan kuwa, kuna organization ambayo huratibu mifumo yote ya dunia,hupangilia msmbo yote ya dunia kuanzia uchumi,siasa,jamii na imani, na hii organization inafanya mambo kisiri sana na hupenda pia kutumia propaganda kuzisambaza il kuichanganya jamii isijue nn kipo nyuma ya iyo propaganda, pia hutumia kazi za fasihi kufikisha ujumbe fulan kwa jamii ama watu husika, ujumbe huo uweza ifikia jamii kupitia media&social networks, kwa kutumia media hupitisha jumbe zao za siri kwa
movies-hapa hutoa tamthilia,series ama single ambayo itakuwa na maudhui ya kuonesha siri ya jambo lililowai kutokea,linalotokea ama litakalotokea hapo baadae na mfano wa muvies hiz ni avengers,lucy,apocalpto, the independent day, jesus of nazarene, Avatar, na nyinginezo
Pia kupitia nyimbo za wasanii wao ambao hufanya ishara fuln kuashilia kitu fulam, au hutumia maneno fulan kumaanisha jambo fuln, ambapo kwa msikilizaj asietambua mafumbo ya nyimbo hiyo hatoelewa zaid ya kucheza mdundiko,
pia kupitia habari, matangazo napia michoro yenye picha zenye codes ambazo mtu wa kawaida huwez elewa kitu, lkn kwa wahusika ni wepesi kuelewa, mfano wa picha hizo ni zile za Leonard de vinc ya monalisa na ile ya yesu akiwa na wanafunz12 wakiwa ndan ya chumba chenye milango3,hii picha inajarbu kuelezea makristo waliowahi kuwepo ktk jamii tofaut na mission tofaut kuanzia akipindi cha falme ya misri mpka dola ya rumi ambayo inawakilishwa na yesu na wengineo ambao wote walizaliwa tareh25..kwa wale wabishi na wasio amini haya mambo nawapa poleee tena pole kubwa maana wanapinga kitu wasichokijua na kupinga kwao hakubadirish ukwel kuwa haya mambo hayapo,bali yapo na yataendelea kuwako
FB_IMG_16255568845884660.jpg
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,760
2,000
Wale wapenzi wa cartoon hapa mtakuwa mshajua cartoon ya the simpsons.
View attachment 1872574

Kipindi hiki kilianza : 17 Desemba 1989
Mtayarishi wa kipindi: Matt Groening

Mtunzi huyu yupo nyuma ya nani kueleza wakati mda yanaelezwa kwenye kipindi chake ndio yanaotokea kama gonjwa la corona,kuwa na mgombea mwanamke marekani,kifo cha flyoid,vurugu za marekani kipindi cha dornad trump,majengo pacha kulipuliwa na vingi.

Mfano View attachment 1872579
Episod moja inaonyesha wachina wakisambaza ugonjwa wa hewa na kusabibisha kutapakaa gonjwa hilo kwa makusudi na leo ni kweli (covid-19)

View attachment 1872580

Episod fulani inaonyesha kunapolisi sehemu ya cartoon hii alikuwa anawachukia watu weusi na kuwafanyia kama kile kitendo alicho fanyiwa flyoid george wakati huku bango kwenye cartoon likuwa lina mwisho wa george tu 2009.

View attachment 1872583

Episod moja huko marekani mwaka 2020 walishawahi kukata kichwa cha sanamu ambalo sijui alikuwa na mchango gani ?

View attachment 1872584
Kuna episod moja hii naweza kuipa asilimia kubwa ikionyesha karatasi ikianza pesa $9 mwisho mchoro (9/11)

Na kweli na hiyo ndiyo ilikuwa tarehee ya shambulizi.

View attachment 1872587
Episod moja binti wafamilia ya hiyo cartoon alikuwa anaonyesha kutaka uraisi.na leo wanawake wengi marekani wamejaribu kugombea.

View attachment 1872590

Hii episod inaonyesha kuwa kuna raisi kichaa ambaye ndio tramp na ilimtabiri ikawa kweli na kuonesha ushirikiano kati ya waarabu ambayo saudia

Zipo nyingi sana.

Sasa watu wengi wanasema huyu mtunzi yupo nyuma ya nani
Cia
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
62,079
2,000
Kila jambo lishapangwa, tena yamepangwa na yanaendelea kupangwa na sisi binadamu wenyewe...

Mengine ni propoganda...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom