Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

Hunu muhimu brother
Nimeikubali sana hiyo kitu huwezi amini😁 nimekosa kabisa mbadala
22774317-3469-461d-9d7e-4a2a7b10591b.jpeg
 
Natamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili.

Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa afya njema ya mwili na akili, pamoja na kuleta furaha ya kweli maishani.
Ni lengo langu kuu kufanya kazi kwa bidii na kwa maarifa ili siku moja nigeuze maono haya kuwa ukweli unaoshikika.View attachment 3614793
Sema hii nyumba inabidi umeme kila saa usikatike, maana huko ndani hata iwe mchana lazima itakuwa giza tu.

Na Hicho kijumba kidogo ni kwa ajili ya matunguli au?? 🤔 🤔
 
Back
Top Bottom