Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,391
- 39,484
Habari ambazo zinaingia sasa hivi ni kuwa nyumba ya mmojawapo wa wafanyabiashara wakubwa nchini imepata madhara ya moto usiku wa kuamkia leo... moto huo umeteketeza vyumba viwili.. kikiwemo alichokuwa amelala mfanyabiashara huyo.. Taarifa zaidi baada ya muda kidogo.. Polisi wanaendelea na uchunguzi kujua chanzo cha moto huo!!