Nyumba ya Historia mkoani Kilimanjaro

Nyumba ya Historia mkoani Kilimanjaro

Mbona utamaduni wa kulala na wanyama mpaka kwa wazungu upo na jamii nyingine za Asia
Hao wazungu mpaka wanaoana na mbwa. Wakuigwa hao?

Sasa hao Wachagga waliwaiga wazungu na waasia?

Hoja yako muflis.
 
Nyumba ya asili ya wachagga haikujengwa kwa udongo wala haikupigwa bati ilikua ni full nyasi.hii imejengwa kwa structure ya zile nyumba za asili za wachagga Kasoro yake ni ya udongo alafu imepigwa bati. Kwa hiyo nyumba hii haijabeba uasilia ule .ila imejengwa kwa mfano ule.
 
Mwanaume wa Dar akilala siku moja tu humo nitamkubali kuwa ni mjeda kwa sababu Kunguni wakishirikiana na Kupe huku Mbu wakishambulia usiku kucha.

Maeneo hayo ya mabaridi ni nadra kukuta hao wadudu hasa mbu.
 
Nyumba ya asili ya wachagga haikujengwa kwa udongo wala haikupigwa bati ilikua ni full nyasi.hii imejengwa kwa structure ya zile nyumba za asili za wachagga Kasoro yake ni ya udongo alafu imepigwa bati. Kwa hiyo nyumba hii haijabeba uasilia ule .ila imejengwa kwa mfano ule.
Kumanya muni efoo
 
Hao wazungu mpaka wanaoana na mbwa. Wakuigwa hao?

Sasa hao Wachagga waliwaiga wazungu na waasia?

Hoja yako muflis.
R5AE59.jpg
 
Halafu watu tunaukataa ushamba.

Mimi mshamba lakini nashukuru kwetu hatujawahi kuishi hivyo hata kihistoria ya zamani zaidi.

Hawa wakuja baada ya kutoka huku na kufunua macho ndiyo wakaanza kwenda kujenga makwao. Wengine mpaka leo wapo vivyo hivyo tu.

Nyie wakuja inabidi mtuheshimu sana watu wa Pwani maana tumewastaarabisha wengi sana Tanzania hii.
Cc: Crocodiletooth
 
"NYUMBA YA HISTORIA" Nyumba hii ilijengwa mwaka 1949, katika Kijiji cha Nkoringa, Kata ya Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijni, Mkoa wa Kilimanjaro. Ndani yake ilikuwa na patision kuu sita "6" (1) Sehemu ya mbuzi (komburu) (2) Sehemu ya Ng'ombe (koombe) (3) Dari (Kayi) (4) Sehemu anakolala Bibi (Kondoo) (5) Sehemu wankolala wajukuu (Kirin) na (6) Eneo la mlangoni (Muungon) "Story itaendelea"View attachment 1201535
Hivi ni Nkoringa au Nkoring'a?
 
humo humo store ya mahind maharage majembe rato nk. mi nimelala humo niaka 13 ya ukuaji wangu. na kiukweli hakuna maisha kwangu niliyowahi ishi yenye raha kama yale. kwa muda wa miaka 13 cjawah umwa nikiwa humo. kila mwanzo wa mwaka bibi alikuwa anatupiga dawa flan la kimasai linaitwa mbarika lilikuwa linaladha mbaya kuliko. ukinywa tu unaharisha cku 2 ukitoka hapo wewe safii. nimemkumbuka my hero bibi yangu mow days ana miaka 114 ila network hakuna. daa asante kwa kunikumbusha maisha yale bro.
 
Moshi Sehemu gani Machame, kibosho, marangu au rombo
 
Ilo baridi la huko rombo mbu atatagia wapi mayai
Kuku wana utitiri Ngombe na Mbuzi wana Kupe Binadamu kwenye nyumba yenye giza Kunguni lazima halafu Mbu lazima waje kuchukua mgao wao.
 
Back
Top Bottom