Nyumba ya Historia mkoani Kilimanjaro

Nyumba ya Historia mkoani Kilimanjaro

Halafu watu tunaukataa ushamba.

Mimi mshamba lakini nashukuru kwetu hatujawahi kuishi hivyo hata kihistoria ya zamani zaidi.

Hawa wakuja baada ya kutoka huku na kufunua macho ndiyo wakaanza kwenda kujenga makwao. Wengine mpaka leo wapo vivyo hivyo tu.

Nyie wakuja inabidi mtuheshimu sana watu wa Pwani maana tumewastaarabisha wengi sana Tanzania hii.

Na nyie mlistaarabishwa na waarabu au sio mama ?
 
Kuku wana utitiri Ngombe na Mbuzi wana Kupe Binadamu kwenye nyumba yenye giza Kunguni lazima halafu Mbu lazima waje kuchukua mgao wao.

Miaka ya nyuma kutokana na baridi kali lililokuwepo Moshi vijijini hakukuwa na mmbu /kunguni ..

Hata ikitokea ni kwa rate ndogo sana sio kama Dsm, Moro au Dom
 
Yote hiyo sababu Kilimanjaro kuna uhaba wa ardhi??!!, mbona maajabu hayo ya kulala nyumba moja na wanyama??!!---- kondoo, Mbuzi, ng'ombe, watoto, wajukuu, kuku nk. 🤣🤣, vipi Masawe??
Mkuu mbona mm kijijini nimelel chumba kimoja na mbuzi,nakumbuka kabisa nilikuwa mdogo kama 8 yrs hv
 
Mkuu mbona mm kijijini nimelel chumba kimoja na mbuzi,nakumbuka kabisa nilikuwa mdogo kama 8 yrs hv

Mimi sikatai kwamba haiwezekani mtu kulala na, hasa, mbuzi katika chumba kimoja, ninachoshangaa ni watu, watoto, mbuzi, ngo'mbe, kuku nk kulala nyumba moja kwa mazoea bila sababu maalumu.
 
Shakumiss mankhede [emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana sijui kimachame najua kikibosho tuu [emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu watu tunaukataa ushamba.

Mimi mshamba lakini nashukuru kwetu hatujawahi kuishi hivyo hata kihistoria ya zamani zaidi.

Hawa wakuja baada ya kutoka huku na kufunua macho ndiyo wakaanza kwenda kujenga makwao. Wengine mpaka leo wapo vivyo hivyo tu.

Nyie wakuja inabidi mtuheshimu sana watu wa Pwani maana tumewastaarabisha wengi sana Tanzania hii.
Wewe kibibi acha porojo,hyo nyumba imekatwa vyumba sio kwamba watu wanalala na mifugo, kumbuka hapo ni mwaka 1949 na nyumba Ni ya bati
Je kwenu kisarawe miaka hiyo kulikuwa na hata nyumba moja ya bati? Léo hii tu huko pwani nyumba za nyasi zipo kwa wingi
 
Ndiyo maana hawa watu wa huko akili zao za kinyama nyama.
Wangekuwa na akili za kinyama wamgekuwa wa kwanza kwenye elimu tangu enz na enz? Wangekuwa wajanja kwenye biashara? Nyie wacheza vigodoro ndo mna akili za wanyama mlikimbia umande
 
Back
Top Bottom