Lello199
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,385
- 3,555
yaan Ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku, binadamu wanaenea wote kwenye hicho kijumba? Maajabu haya
Isembo lyi lya warumu kuchidima kwamba lyileonikia Magorofe tye


yaan Ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku, binadamu wanaenea wote kwenye hicho kijumba? Maajabu haya


Ulinyana shi nyandaa? uliyombya likabhila nadalimanile unene bhuli ahene?Isembo lyi lya warumu kuchidima kwamba lyileonikia Magorofe tye![]()
Isembo lyi lya warumu kuchidima kwamba lyileonikia Magorofe tye![]()




"NYUMBA YA HISTORIA" Nyumba hii ilijengwa mwaka 1949, katika Kijiji cha Nkoringa, Kata ya Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijni, Mkoa wa Kilimanjaro. Ndani yake ilikuwa na patision kuu sita "6" (1) Sehemu ya mbuzi (komburu) (2) Sehemu ya Ng'ombe (koombe) (3) Dari (Kayi) (4) Sehemu anakolala Bibi (Kondoo) (5) Sehemu wankolala wajukuu (Kirin) na (6) Eneo la mlangoni (Muungon) "Story itaendelea"View attachment 1201535
Yote hiyo sababu Kilimanjaro kuna uhaba wa ardhi??!!, mbona maajabu hayo ya kulala nyumba moja na wanyama??!!---- kondoo, Mbuzi, ng'ombe, watoto, wajukuu, kuku nk. 🤣🤣, vipi Masawe??
Umesoma vizuri au umekurupuka hembu tupe na za kwenu
Nimecheka...Tambiko is loading

Nimewahi lala nyumba ya aina hiyo Mengwe,Rombo. Tulikuwa tunalala na mifugo yote hivyo na jiko ndani. Hakukuwa na kunguni,kupe Wala mbu.Mwanaume wa Dar akilala siku moja tu humo nitamkubali kuwa ni mjeda kwa sababu Kunguni wakishirikiana na Kupe huku Mbu wakishambulia usiku kucha.
Kwani tambiko lina shida gani?Kanyumba ka tambiko
Kata mkuu zipo kama TatuKibosho sio kata... rekebisha hapo
NonyelileshiUlinyana shi nyandaa? uliyombya likabhila nadalimanile unene bhuli ahene?
Kuku wana utitiri Ngombe na Mbuzi wana Kupe Binadamu kwenye nyumba yenye giza Kunguni lazima halafu Mbu lazima waje kuchukua mgao wao.Nimewahi lala nyumba ya aina hiyo Mengwe,Rombo. Tulikuwa tunalala na mifugo yote hivyo na jiko ndani. Hakukuwa na kunguni,kupe Wala mbu.
Mbona utamaduni wa kulala na wanyama mpaka kwa wazungu upo na jamii nyingine za AsiaHalafu watu tunaukataa ushamba.
Mimi mshamba lakini nashukuru kwetu hatujawahi kuishi hivyo hata kihistoria ya zamani zaidi.
Hawa wakuja baada ya kutoka huku na kufunua macho ndiyo wakaanza kwenda kujenga makwao. Wengine mpaka leo wapo vivyo hivyo tu.
Nyie wakuja inabidi mtuheshimu sana watu wa Pwani maana tumewastaarabisha wengi sana Tanzania hii.
Plus viroboto na papasiMwanaume wa Dar akilala siku moja tu humo nitamkubali kuwa ni mjeda kwa sababu Kunguni wakishirikiana na Kupe huku Mbu wakishambulia usiku kucha.