Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Introv jana si umeuliza jamani tukakupa hadi hesabu, leo tena?????Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie
Naombeni msaada jamani.Introv jana si umeuliza jamani tukakupa hadi hesabu, leo tena?????
Msaada wa pesa au????πππ Unazingua, jana umeandika watu tukatiririka hadi screenshot ya mahesabu niliweka leo tena???!!!Naombeni msaada jamani.
Aisee nimeuliza alafu wanasema mita 1 ni 27000 Sasa bati Lina mita 3 kwahiyo ni sawa na 81000 aisee mbona hatari hiiAndaa kuanzia bati 15
DuuuhMsaada wa pesa au????πππ Unazingua, jana umeandika watu tukatiririka hadi screenshot ya mahesabu niliweka leo tena???!!!
Kama pesa haitoshi tulia inywe kwanza wakati unatafuta nyingine
Mzee usiogope ndio mambo ya ujenzi hayoAisee nimeuliza alafu wanasema mita 1 ni 27000 Sasa bati Lina mita 3 kwahiyo ni sawa na 81000 aisee mbona hatari hii
Mkuu ni hatari sanaMzee usiogope ndio mambo ya ujenzi hayo
kupaua hesabu haifanywi hivyo,hesabu ya bati hutokana na aina ya kenchi au mtindo wa kenchi ulivyopiga,ila kaa ukijua kenchi na bati ni gharama kubwa na kwa wastani sio chini ya milioni 10Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
Ulishajenga hiyo nyumba ya chumba na sebule?Mkuu ni hatari sana
Kwamfano upauaji wa apa nne nyumba yenye sebule 5m+5m chumba 5m+5m jiko 2m+2m Choo 2m+2m zinaingia bati ngapi mkuukupaua hesabu haifanywi hivyo,hesabu ya bati hutokana na aina ya kenchi au mtindo wa kenchi ulivyopiga,ila kaa ukijua kenchi na bati ni gharama kubwa na kwa wastani sio chini ya milioni 10
Bado sijajenga mkuu ndio nipo kwenye kupiga hesabuUlishajenga hiyo nyumba ya chumba na sebule?
Imeenda tofali ngapi?
oh kwa hapo haizidi bati 50Kwamfano upauaji wa apa nne nyumba yenye sebule 5m+5m chumba 5m+5m jiko 2m+2m Choo 2m+2m zinaingia bati ngapi mkuu
Aisee hatari sana halafu jamaa wa alaf wanauza bati Moja bei 81000oh kwa hapo haizidi bati 50
Weka mchoro tuone vipimo na roof plan
Labda anaomba msaada wa kupigwa makofiMsaada wa pesa au????πππ Unazingua, jana umeandika watu tukatiririka hadi screenshot ya mahesabu niliweka leo tena???!!!
Kama pesa haitoshi tulia inywe kwanza wakati unatafuta nyingine
Huyu sasa itakua anatudolishia mjengo sio bure πLabda anaomba msaada wa kupigwa makofi
Naomba ramani ya hako kajumba na mie nijenge mzeyaNaombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee