Uko sahihi dada'angu. Lugha ya Malkia ni shida kwa wengi wetu.Katika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?
Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
Hichi choo kinaitwa family toilet, public toilets ni zile za Ubungo terminals mkuu, nisahihishe kama nimekosea.Inawezekana sky kuna nyumba nimejenga kila chumba kina choo chake na nje kdg kuna choo cha wageni
Hicho cha public naona watoto kama nawanyima uhuru wao
Ni kweli lakini kile kingine kiko kwenye nyumba ya familia ni choo cha familia si cha public.Uko sahihi dada'angu. Lugha ya Malkia ni shida kwa wengi wetu.
Huwa tunawaelewa. Master hachangii msala na wabweni. Wengine wote wapige foleni tu.
Tumia kiswahili, achana na hizi ligha za wengine, mnatuchanganya.Katika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?
Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
ligha--lughaTumia kiswahili, achana na hizi ligha za wengine, mnatuchanganya.
Ndio hapo niliposema nimekuelewa.Ni kweli lakini kile kingine kiko kwenye nyumba ya familia ni choo cha familia si cha public.
Kikiwa ndani ya nyumba hakiwezi kuwa cha public mkuu, wanaokitumia watakuwa wanzfamilia ndugu na jamaa.Private ni cha master maana huchangii na mtu. Public ni hicho kingine ambacho everyone can access. Yaani wewe, watoto, wageni, hata wapita njia wanaweza kuomba kujihifadhi. Kwahiyo ni sawa kabisa. Tofautisha PUBLIC vs. PRIVATE
Public toilets ni kama vya sokoni, stend ya mabasi ,bar/hotel nkKatika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?
Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
Kile cha office kule Tabora ni communal toilet kwasababu kinatumiwa na cmkusanyiko wa watu wanaofahamiana au wenye common purpose ni sawa na choo cha nyumba ya vyumba sita ya kupangaKutambua ni public au private (master) tunaangalia accessibility. Sasa publicity inaangalia context unayozungumzia. Kifamilia choo cha wote bado ni public toilet kwa mukhtadha huo. Mazingira ya Ubungo stand choo cha wote ni public wakati kile cha office za TABOA ni private.
Hatujui hata kiswahili halafu tunajidanganya Kiswahili chatosha. Hebu uliza Kiswahili cha hizo :master B R, public toilets na communal toiletsKikiwa ndani ya nyumba hakiwezi kuwa cha public mkuu, wanaokitumia watakuwa wanzfamilia ndugu na jamaa.