Nyumba self contained inaweza kuwa na public toilet?

Sio kila anayekuja nyumbani kwako atapata chumba humo. Kuna wengine wanaishia tu nje sana sana sebuleni tu. Sasa utamfungulia chubani kwako akanye???
 
Mkuu tueleweshe unavyoelewa wewe
Ok.
Mi ninavyoelewa ni kwamba Nyumba yenye vyumba 3 kimoja kikiwa na choo chake ndani hicho chumba kinaitwa master bedroom na vyumba vingine ordinary bedrooms.
Nyumba ikiwa na vyumba 3 vyote kila chumba kina choo chake hiyo nyumba itaitwa self contained rooms.
Public toilet ni choo kinachotumiwa na watu wenye mahusiano tofauti mfano baba,mama,watoto,wageni,ndugu nk
 
Sio kila anayekuja nyumbani kwako atapata chumba humo. Kuna wengine wanaishia tu nje sana sana sebuleni tu. Sasa utamfungulia chubani kwako akanye???
Itampishs kwenye family toilet na wengine huweka guest toilet karibu na sitting room
 
Ok.
Mi ninavyoelewa ni kwamba Nyumba yenye vyumba 3 kimoja kikiwa na choo chake ndani hicho chumba kinaitwa master bedroom na vyumba vingine ordinary bedrooms.
Nyumba ikiwa na vyumba 3 vyote kila chumba kina choo chake hiyo nyumba itaitwa self contained rooms.
Public toilet ni choo kinachotumiwa na watu wenye mahusiano tofauti mfano baba,mama,watoto,wageni,ndugu nk
Asante mkuu lakini self contained house ni nyumba yenye choo bado na jiko ndani. Ni sawa unaweza kuwa na self contained rooms lakini kile choo cha wote ni cha familia.
 
Kikiwa ndani ya nyumba hakiwezi kuwa cha public mkuu, wanaokitumia watakuwa wanzfamilia ndugu na jamaa.
Wapita njia waliobanwa na haja, Au kukiwa na Shughuli Jirani na kwako wakaomba kutumia ni Public tayari Shemeji.
 
Asante mkuu lakini self contained house ni nyumba yenye choo bado na jiko ndani. Ni sawa unaweza kuwa na self contained rooms lakini kile choo cha wote ni cha familia.
Yeah ni sahihi vyumba vya mahitaji mengine vinakuwepo mimi nli base kwenye vyoo nikuoneshe utofauti kwa uelewa wangu
 
Katika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?

Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
choo hupewa jina kutokana na idadi na aina ya watumiaji, na kutokana na aina ya watu choo hicho kinawahudumia, ndo maana unakuta stendi kubwa kuna vyoo vimeandikwa choo cha kulipia hii haijaitwa au kuandikwa communal au public
 
Sio kila anayekuja nyumbani kwako atapata chumba humo. Kuna wengine wanaishia tu nje sana sana sebuleni tu. Sasa utamfungulia chubani kwako akanye???
Tena wanachokisahau watu wengi, wanaojenga nyumba za kisasa, ni kujenga choo ya nje, wakati wa kawaida unaweza ona aina umuhimu hii choo, ila kukiwa na tukio linalovitaji kusanyiko la watu nyumbani, ndipo utaona umuhimu wa choo cha nje.
Mfano ghafla, sherehe, misiba na mutukio yanakusanya watu nyumbani.
 
Back
Top Bottom