Nyumba self contained inaweza kuwa na public toilet?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,184
Katika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?

Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
 
Inawezekana sky kuna nyumba nimejenga kila chumba kina choo chake na nje kdg kuna choo cha wageni
Hicho cha public naona watoto kama nawanyima uhuru wao
 
Katika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?

Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
Uko sahihi dada'angu. Lugha ya Malkia ni shida kwa wengi wetu.

Huwa tunawaelewa. Master hachangii msala na wabweni. Wengine wote wapige foleni tu.
 
Basi tumezoea kuviita public maana ni vya wote

But public na family toi ni kitu kimoja sema watumiaji tofauti kwamba public ni hata mpita njia anaweza kuingia ila family ni wale wa nyumbani pamoja na wageni na house girl
 
Katika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?

Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
Tumia kiswahili, achana na hizi ligha za wengine, mnatuchanganya.
 
Ni kweli lakini kile kingine kiko kwenye nyumba ya familia ni choo cha familia si cha public.
Ndio hapo niliposema nimekuelewa.

Mtangazaji hakujua tofauti ya communal na public. Aliposema public sio sawa na choo kinachoweza kutumiwa na kijiji kizima. Ni kwa wanafamilia wote wa nyumba hiyo including Master. Lakini Master ana faragha yake.

Endelea kuelimisha dada.
 
Private ni cha master maana huchangii na mtu. Public ni hicho kingine ambacho everyone can access. Yaani wewe, watoto, wageni, hata wapita njia wanaweza kuomba kujihifadhi. Kwahiyo ni sawa kabisa. Tofautisha PUBLIC vs. PRIVATE
 
Kikiwa ndani ya nyumba hakiwezi kuwa cha public mkuu, wanaokitumia watakuwa wanzfamilia ndugu na jamaa.
 
Katika ma tangazo ya nyumba humu ninaona Mara nyingi tunaambiwa nyumba ina master bedroom na. Public toilet, jamani wajuzi wa mambo haya yanawezekana?

Huku kwetu Kwamtogole tunatumia choo kimoja watu 25 lakini hatukiiti public toilet, ni communal toilet. Ushamba mzigo nisaidieni jamani.
Public toilets ni kama vya sokoni, stend ya mabasi ,bar/hotel nk
 
Kutambua ni public au private (master) tunaangalia accessibility. Sasa publicity inaangalia context unayozungumzia. Kifamilia choo cha wote bado ni public toilet kwa mukhtadha huo. Mazingira ya Ubungo stand choo cha wote ni public wakati kile cha office za TABOA ni private.
 
Kile cha office kule Tabora ni communal toilet kwasababu kinatumiwa na cmkusanyiko wa watu wanaofahamiana au wenye common purpose ni sawa na choo cha nyumba ya vyumba sita ya kupanga
 
Kikiwa ndani ya nyumba hakiwezi kuwa cha public mkuu, wanaokitumia watakuwa wanzfamilia ndugu na jamaa.
Hatujui hata kiswahili halafu tunajidanganya Kiswahili chatosha. Hebu uliza Kiswahili cha hizo :master B R, public toilets na communal toilets
 
Hii ni open debate mkuu wanaojua watatufahamisha
 
Hahaa!
Ni mtazamo wako Ila kwa uhalisia kuwa public au private ni namna ya matumizi na mtazamo wako.Mfano "vyumba vyote vina private washrooms(vyoo binafsi ya vyumba husika) kwa wale watumiao ivo vyumba tu Alafu unacho chumba Kimoja cha choo ambacho chenyewe watu husiowataka wafike kwene vyumba wanakitumia within this same house.....tutakiitaje?"
Maana chenyewe ni cha kila mtu aingiae kama mgeni na ambaye anahisi room yake iko mbali naye ataingia umoumo kujisitiri simply ni public at family level.
Ref.kesi ya jamaa aliyekosa mahali pa kujisitiri akiwa na tatizo la tumbo uku akiharisha vs familia yenye nyumba self contained vyumbani hakuwa na choo cha nje wala public at family level.Jamaa geti wazi akaingia wakamkataza kwa haraka akafinyanga pembeni ya ukuta kwa nje ya nyumba,akanawa bombani na kupita vile! Jamaa wakapiga kelele wewe njoo jamaa ata hakugeuka kwa kuhisi aibu! Watu wa walimtetea mZee wa watu kwamba aliomba kujisitiri ndani wakamnyima!! Sasa hapa ndipo utapoitaji public toilet maana gogo laini nje ya nyumba/ndani ya geti.
Haha
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom