Nyumba ndogo zina viherehere

Nyumba ndogo zina viherehere

Mume -----, smoo hausi inawezaje face nyumba kubwa?
 
hapo bado wakija mashemeji au mawifi atajidai kiherehereeeeeeeee ili wamjue afu wamfagilie......anataka aonekane yeye ndio anajua zaidi kucare, subiri aingizwe ndani basi ndio atajulikana colur zake zote.............mfyuuuuuuuuuuuuu
 
Hahahaaa......Mechaka sana mamie. Vipi yule boss wako mlifikia wap??
 
hapo bado wakija mashemeji au mawifi atajidai kiherehereeeeeeeee ili wamjue afu wamfagilie......anataka aonekane yeye ndio anajua zaidi kucare, subiri aingizwe ndani basi ndio atajulikana colur zake zote.............mfyuuuuuuuuuuuuu
Wanaume ndio washamba mtu anamuacha mke wake anakwenda kupangwa foleni kwa mchepuko, michepuko mingi ni machangu wajanja washagonga na wamepiga chini, mshamba ndio utaona kivuno wengine wanathubutu hata kuacha wake zao kisa michepuko ambayo wajanja washakamua na wamepiga chini
 
Kama kuna siku niliomba Mungu anipe mume wangu mwenyewe ni siku niliposhuhudia mchepuko ukichanwachanwa viwembe vya uso!Huyo dada alijifanya kuja kumuuguza mama mkwe,siku hiyo inaonekana mwenye mume alishtukia dili akasema hatakuja hospitali anasafari ya Kibaha.Imefika muda wa lunch mchepuko umeleta chakula wodini hamadi mwenye mume katokea.Ule mchepuko ulichanwa viwembe vya uso bila huruma hlf yule mke akakimbia,kilichosaidia ni kwavile alikuwepo hospitali.Kilichofuata huko nyumbani hatujui.Ila mchepuko ulipata viwembe vya uso na mkorogo uliokuwa umepaka ilikuwa hatari.
 
Ni kawaida uzinifu lazima iko siku utatoka hadharani....Wote wana makosa...mwanamme kwenda nnje ya ndoa yake na mwanamke kujitia hashuo la kipuuzi....Wacheni michepuko!
 
Kama kuna siku niliomba Mungu anipe mume wangu mwenyewe ni siku niliposhuhudia mchepuko ukichanwachanwa viwembe vya uso!Huyo dada alijifanya kuja kumuuguza mama mkwe,siku hiyo inaonekana mwenye mume alishtukia dili akasema hatakuja hospitali anasafari ya Kibaha.Imefika muda wa lunch mchepuko umeleta chakula wodini hamadi mwenye mume katokea.Ule mchepuko ulichanwa viwembe vya uso bila huruma hlf yule mke akakimbia,kilichosaidia ni kwavile alikuwepo hospitali.Kilichofuata huko nyumbani hatujui.Ila mchepuko ulipata viwembe vya uso na mkorogo uliokuwa umepaka ilikuwa hatari.
Its somehow insane kufight na mwanamke kwa ajili ya mwanaume. Lakini pia huwa nawapenda mashujaa kama huyo (kwangu mimi ni shujaa) sababu unajua amepitia mangapi na huyo mumewe mpaka ukamuona wewe?Halafu hainiingii akilini ni utovu wa nidhamu uliopitiliza na wakati mwingine ndugu wa mume wanachangia sasa alipataje huo ujasiri wa kuuguza mamamkwe?Hata kama wote hamumtaki huyo njiakuu for the sake of kids jamani familia ya mume mliangaliage hill. Hamumkomoi njiakuu mnaumiza watoto kha!
 
Wanaume ndio washamba mtu anamuacha mke wake anakwenda kupangwa foleni kwa mchepuko, michepuko mingi ni machangu wajanja washagonga na wamepiga chini, mshamba ndio utaona kivuno wengine wanathubutu hata kuacha wake zao kisa michepuko ambayo wajanja washakamua na wamepiga chini
Ushamba at its best! Wanapangwaga ka nyanya sababu mtu akishaamua kuwa mchepuko ujue kajitoa fahamu na yuko kimaslahi so unakidhi maslahi yake yotee? Kama sivyo basi ujue kuna wa kiwanja, wa gari na mengineyo kama hayo!
 
Nyumba ndogo ina nguvu sana(kwa baadhi ya wakware) - wengine wanaacha watoto na mke wanashindia kauzu tena mzee akiulizwa mbona imekua hivi siku hizi?(mzee anakua mkali), ila nyumba ndogo mambo ya neema njemba inawajibika
 
Kabisa utakuta jamaa likitoka nyumba ndogo likirudi nyumbani linamnunia mkewe. Likiulizwa kitu linakuwa kama mbogo kazi yake kumtafutia sababu mkewe za kila aina. Wanaume ambao ni malimbukeni ndio wanafanya hivi na wanaingizwa kweli mjini na michepuko
 
Inashangaza mtu anaacha lami (njia kuu),, anahangaika na barabara mbovu vumbi, makorongo, miba, bado kila mdudu akatisha sababu nyingi zinakatiza vichakani.. jionee huruma mwenyewe, jithamini, jijali na jipende
 
Na kwanini uwe na mchepukoo ndio dawa yenu tena kama mim navunja na ndoa kabisaa maana michepuko hua ipo kimaslahi
 
Kabisa utakuta jamaa likitoka nyumba ndogo likirudi nyumbani linamnunia mkewe. Likiulizwa kitu linakuwa kama mbogo kazi yake kumtafutia sababu mkewe za kila aina. Wanaume ambao ni malimbukeni ndio wanafanya hivi na wanaingizwa kweli mjini na michepuko
Unakuta jitu sijui ndo limetoka kuchepuka linaanza kumchambua mkewe, umeweka chakula mara chakula umepikaje. Hivi nyumba mbona chafu sana alafu wewe ni mwanamke gain huna hata akili ya biashara? Hivi wewe unaakili kweli, umesoma lakini mtu aliyeishia darasa la tano anafanya vitu kwa kufikiri kuliko wewe! Una akili ndogo sana. Mara wachaga wana akili ya biashara so kama makabila mengine teh teh. Sasa wachaga si walikuepo ulimuolea nini huyo kabila ingine. Yaani watu wakipata michepuko inakua taaabu kwelikweli ila wanashtukaga when its too late. Unakuta wanae hajasomesha kasomesha mchepuko na ndugu wa mchepuko. Mnasemaga wanawake mwalimu wao kipofu ila wanaume wao alishakufaga!
 
Its somehow insane kufight na mwanamke kwa ajili ya mwanaume. Lakini pia huwa nawapenda mashujaa kama huyo (kwangu mimi ni shujaa) sababu unajua amepitia mangapi na huyo mumewe mpaka ukamuona wewe?Halafu hainiingii akilini ni utovu wa nidhamu uliopitiliza na wakati mwingine ndugu wa mume wanachangia sasa alipataje huo ujasiri wa kuuguza mamamkwe?Hata kama wote hamumtaki huyo njiakuu for the sake of kids jamani familia ya mume mliangaliage hill. Hamumkomoi njiakuu mnaumiza watoto kha!
Hapo mtovu wa niddamu mi naona ni mwanaume. Period!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom