Nyumba ndogo zina viherehere

Nyumba ndogo zina viherehere

Jf raha sn! Kuna jamaa humu ana mke wake na ana mchepuko humu humu! Cha kufurahisha mke na mchempuko washachangia hii mada, bado jamaa! Safi sana
 
Kwani kuwa nyumba ndogo ni dhambi,mpaka mtu ashindwe kumuhudumia mwanaume,alaaaa...muwaache wapumue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom