..mke wangu alikuwa amepitisha mwezi mzima hataki nimguse popote japo tulikuwa tunalala kitanda kimoja tena akiwa uchi kabisa, anapenda kulala uchi mke wangu. Mimi nilikuwa nahesabu kuwa ni unyanyasaji wa kijinsia, yaani mwanamke analala na mimi uchi, tena ana mapaja na tukunyema nzuri mno nikigusana nae moyo unanienda mbio, lakini jibu lake ni moja tu, 'niache bwana nimechoka!' ...
...nikijaribu kumgusa sehemu zake zile ninazojua za ashki, hushtuka usingizini na kuanza kugomba hadi najuta kwa nini nilimgusa, halafu nakasirika vibaya!
Kama hamjui kuna kutingwa vibaya, basi hayajawakuta, yaani nina mambo mengi mno kichwani humu.
Stage 1
Women at Stage 1 feel as though something is missing in their lives.
They view sex as a job. Some women claim they feel violated when their husbands touch them. Their bodies freeze up and they feel tightness in their chest and/or a sick feeling in their stomach.
Stage 2
Women at Stage 2 experience reawakened desire stimulated by an encounter outside the marital relationship. Many women will become negative and sarcastic when speaking of their husbands and their marriages and it is not uncommon for an extramarital affair to follow.
Stage 3
Women at Stage 3 are involved in affairs, ending affairs, or contemplating divorce. Women who are having affairs experience feelings unlike anything they have experienced before. These women are also typically in tremendous pain, the pain of choosing between their husbands and their new love interests. They typically believe that what they are doing is wrong and unfair to their husbands, but yet are unable to end their affairs.
source; Infidelity, Cheating Wives - Women's Infidelity
Stage 4
The women in stage four included those who chose to stay married and continue their affairs and those who chose to divorce. Almost all of the women in this latter category were having affairs with married men. They believed their affairs could continue indefinitely without disrupting either partner's primary relationship.
Mbuu mid-life crisis, what does it mean in swahili au nifafanulie zaidi maana nalionaona sana. asante sana
bado siamini kama tigo ni kinga muhimu ya ndoa.
...Mkuu, pole sana ndugu yangu, ...sina la kukusaidia zaidi ya kukuelewesha utambue mkeo yumo naye katika msongo mkubwa wa mawazo. Inahitaji busara kubwa kum handle mkeo katika hali hiyo, kum support hizo phase za mid-life crisis anazopitia kwa sasa.
Kusoma ni kuelimika, nimejaribu ku summarize few quotes (na rangi za kukutahadharisha) kwa nini wanawake wana cheat, huenda nawe ikakupa picha kinachoweza kuja tokea;
source; Infidelity, Cheating Wives - Women's Infidelity
mbu hapo juu nimesoma post yangu very interesting sijui umeoa umeyajua yote hayo?
...au upo kwenye ndoa muda gani
bla shaka utakuwa mwenye furaha kwenye ndoa yako maana post zako zinaonekana za kikubwa.
haswa ile ya dizaini ya kulala kwenye ndoa baada ya miaka kadhaa,
bila shaka ukishayajua ote hayo basi utakuwa na mkeo kwa furaha,
natamani na mimi mume wangu angeyajua yote hayo nitamshauri aingie humu asome
japo wengine wanayoandika huku si wayafanyayo wazuri kushauri lakini ndoa zao sinawaka moto,
namjua kaka mmoja ni rafiki yangu sana sitamtaja humu ndo alinionyesha jamii forum
lakini yeye yote ayasemayo na kutushauri hatekelezi kwa mkewe,
bila shaka wana jamii sio mlivyo,tushaurini lakini na ndoa zenu mfanya mnavyofanya muwe mfano
bila shaka wana jamii sio mlivyo,tushaurini lakini na ndoa zenu mfanya mnavyofanya muwe mfano
japo wengine wanayoandika huku si wayafanyayo wazuri kushauri lakini ndoa zao sinawaka moto,
natamani na mimi mume wangu angeyajua yote hayo nitamshauri aingie humu asome
bila shaka ukishayajua ote hayo basi utakuwa na mkeo kwa furaha,
haswa ile ya dizaini ya kulala kwenye ndoa baada ya miaka kadhaa,
the bottom line ni kwamba nyumba ndogo inajua kwamba iko kwenye competition and will always try to impress, wanamake sure kwamba ukionja tu- lazima urudi tena na tena, na ikibidi umsahau mkeo na hata watoto, they will do whatever it takes to convince you that they are better than your 'first choice' , wakati mafirst lady wanajua kwamba wako peke yao! Hawajui kwamba wana compete na yeyote na hii inawafanya wajisahau kwenye 'uboreshaji huduma' na performance kwa ujumla. Competition leads to improved products and services kama wasemavyo wataalamu wa masoko!
nyumba ndogo taaaaaaaaaaaaaaaaamu jamani zinajua kubembeleza jamani.
nyumba ndogo taaaaaaaaaaaaaaaaamu jamani zinajua kubembeleza jamani.
Wake ndo wana jukumu la kuwafundisha waume zao mbinu za kuepukana na hawa predators wanaoiba waume za watu!
haya ngoja na wewe mkeo aende kubembelezwa huko sijui na nyumba kubwa!!!!!!!
pole na ukome.......Mimi kuna wakati nilishamtamani sana housegirl wangu kutokana na alivyokuwa anaonekana na uongeaji wake. Sikuwahi kuthubutu kumwambia kwa sababu nilikuwa nachunga sana heshima yangu, alikuwa ananiheshimu sana. Lakini kila nikimwangalia machoni nilikuwa nahisi kama vile naye pia alikuwa ananitamani (sijui kwa nini, hisia zangu tu). Kipindi hicho mke wangu alikuwa amepitisha mwezi mzima hataki nimguse popote japo tulikuwa tunalala kitanda kimoja tena akiwa uchi kabisa, anapenda kulala uchi mke wangu. Mimi nilikuwa nahesabu kuwa ni unyanyasaji wa kijinsia, yaani mwanamke analala na mimi uchi, tena ana mapaja na tukunyema nzuri mno nikigusana nae moyo unanienda mbio, lakini jibu lake ni moja tu, 'niache bwana nimechoka!' Ndipo nilipoanza tabia mpya ya kukesha sebuleni nikiangalia movie (ingawa chumbani pia ipo), ili nitakapozidiwa na usingizi ndipo niingie chumbani kulala ambapo humkuta mwenzangu kalala fofofo. Halafu sijui ana nini, hata katika hali hiyo ya usingizi nikijaribu kumgusa sehemu zake zile ninazojua za ashki, hushtuka usingizini na kuanza kugomba hadi najuta kwa nini nilimgusa, halafu nakasirika vibaya!
Wakati huo nilipokuwa nikimpenda na kumtamani huyo housegirl ambaye hata hivyo sikumwambia, hiyo ndiyo hali nilikuwa nayo, yaani ni tension ya ajabu! Kuna siku nilisikia kwa rafiki zangu kuwa pombe huwa inapunguza hamu ya ngono, basi nikawa nakuja nyumbani na chupa za pombe nazinywa kabla ya kwenda kulala ili nisimsumbue mwenzangu na kitu ambacho hapendi. Kweli ile hamu ilikuwa inapungua na nilipata usingizi mzuri, lakini kesho yake nilikuwa naumwa kichwa, na nikienda ofisini nilikuwa najihisi mchovu na kusinzia ovyo! Nikaacha tena ile pombe.
Najaribu kufikiri iwapo yule housegirl niliyempenda angechukua hatua kidogo tu hata ya uchokozi, nadhani nisingeweza kujizuia hata kidogo.
Shida yangu kwa nini sipati nyumba ndogo hata sasa ingawa nataka ni kwamba kwanza mwenyewe naona aibu kuanzisha hii mada na wanawake, hasa wanaojua nimeoa, na tena wanaamini nina uhusiano mzuri sana na mke wangu. Siku moja nilithubutu kuomba penzi kwa mfanyakazi mwenzangu mmoja ambaye ni single na tulikuwa tumezoeana vizuri sana hadi nikajihisi tuna ukaribu wa kutosha kusema hiyo kitu. Alinisikiliza vizuri akaniomba tuonane jioni anipe jibu, nikajua hapa napata. Tulipokutana hapo mahali penye chai, mbona alinishangaza, alinipasha kama mtoto mdogo, kwamba hakutegemea mtu ninayeonekana nina busara kama hivi naweza kumjaribu kwa jambo la haramu kama hilo! Sijathubutu kumjaribu mwingine.
Sababu nyingine nadhani naonekana 'mnoko' fulani, yaani hata utani wa kawaida tu wanawake huwa hawaniambii (ingawa kabla sijaoa nilikuwa na wasichana wengi sana tuliokuwa tunazungumza mambo ya masikhara!).
Kama hamjui kuna kutingwa vibaya, basi hayajawakuta, yaani nina mambo mengi mno kichwani humu.