Mh watahangaika kuzunguka bucha nyama ni ile ile........
Wapo wataosema kuwa nyumba kubwa wanajisahau but angalia kiwango cha majukumu alonayo mama mkubwa na mama mdogo.
mama mkubwa ana familia (iloletwa na huyo baba) hivyo majukumu yake yanaongezeka kiasi kwamba hana muda zaii ya ule wa kujiswafi. Mama mkubwa ataupata wapi muda wa kufanya ya nyumba ndogo?
Bi Mkubwa
1. Hana muda wa kujifukisha manukato huko kwa bibi ili kwamba bwana akija akutamani. Muda huo anautumia kuwapikia wanae na familia au hata kushughulikia watoto
----- Nyumba ndogo yenyewe ah plenty of time (Hana familia wala mtoto) so anaweza kuwa na muda hata wa kushinda kiooni akijipodoa
2. Nyumba yake haimpi nafasi ya kumpet bwana. Nyumba imejaa watoto na ndugu saa ngapi utambeba bwana mgongoni umpepeke bafuni?. Mtawezaje kujivinjari mpendapo makochini, jikoni au barazani wakati kila sehemu kuna watoto.
------- Nyumba ndogo kwake ah yu peke yake akiamua kukupea ukumbini aha. Akiamua kukufanyia strip show ah kwa raha ake hagombwi.
ama kweli mwanaume ni kama mtoto dogo.
3.
MJO, hayo uliyoyaandika hapo juu kuhusu mama wa nyumba kubwa kutokuwa na muda ni kweli kabisa. Na sasa hivi katika nchi nyingi za magharibi kumeanza kuwa na kundi la wanandoa (Mke na Mume) ambalo halitaki watoto katika ndoa zao.
Hili kundi linaongezeka kwa haraka sana. Wanataka maisha yao yasiingiliwe kabisa na majukumu ya kulea watoto. Mwanzoni nilidhani hawa ni wazungu tu lakini katika kuongea na marafiki mbali mbali nimegundua kwamba wapo pia weusi, wahindi na wengineo. Labda si muda mrefu yataingia na kwetu, lakini kuwa wanandoa bila watoto...Hmmmm! hili lina ugumu kulikubali, lakini jamii zetu zinabadilika labda miaka michache ijayo litakuwa si jambo geni.
Mimi nadhani pasiwe na nyumba kubwa yaani hakuna kuishi kama mume na mke ni bora mtembeleane tu ili kila mmoja awe na nyumba ndogo.
Onyo:
Ikifikia hivyo wanaume wakibongo mmeumia, maana kuna nchi moja inaonyesha rate ya single life imeongezeka sana. Wanawake wote wamekaa mkao wa kuchuna tu, hawataki kuwekwa kama nyumba kubwa. Wadada ndo waamuzi kwamba leo uje au usije. Na usiingilie privarcy yake. Akina baba wamekuwa waoga sana. Ukizungumzia mwanamke means MONEY. Hapendwi mtu. Watanzania tuna mengi ya kujivunia mazuri ila yakiharibiwa basi tena sijui tutayarudisha vipi.
Wakenya wamegundua kujiolewa wadada wa Tanzania, pia Uganda. msisitizo wao EA ni pamoja na kujipatia wadada wenye hadhi ya kuwa wife. Maana huko kwao wansema wamama wamechanuka. Wacha akinadada wa kibongo nao wachanuke.
... kama wataka ya nyumba ndogo si umwambie mkeo akufanyie?
With all due respectThat is a nature of MAN to hunt. Hatosheki na mmoja hata sikumoja.
We are on the same page Nyama yao.bado siamini kama tigo ni kinga muhimu ya ndoa.
...itakuwa sawa na 'kujiibia' mwenyewe, unachomoa toka mfuko wa shati unazificha kwenye mfuko wa suruali, ...wala haina raha π
We are on the same page Nyama yao.
Tangu nachumbia mwanamke anajua kuwa napenda ngono sana. Tunaoana ananipa vizuri tu. Baada ya kuona sasa keshajikita ndani, anaanza kunibania na visingizio kibao mara ooh nimechoka, ati unataka kila siku nk. Wakati mwingine nikiomba najibiwa 'jana si nilikupa, unataka na leo tena?' Sasa mtu kama huyu anategemea nini, kwa nini nisiwe na nyumba ndogo? Haya yanayosemwa ya uchovu, watoto, kukosekana nafasi nyumbani ni visingizio tu. Mie nina nyumba ya kutosha na bed room yangu ina nafasi, na watoto wana vyumba vyao, nanyimwa kwa sababu gani? Namtoa outing tunatumia siku 4 hotelini, bado hata huko ananyima, hadi nikawaza ni pepo au ni nini? Hadi nimefikia kuamini kuwa hakuna ninachoweza kufanya ili mke wangu anipatie unyumba kama inavyopasa, angalao basi kama alivyokuwa ananipa alipokuwa anabembeleza kuolewa! Sasa hapo nisiwe na nyumba ndogo sababu gani?
Hapa sasa hivi mie sina nyumba ndogo, ni kwa sababu tu sijapata mwenye vigezo ninavyohitaji, lakini nikimpata na mimi nalianzisha!
haaa jamani!
Na ikiwa ni mwanamke naye amekupatia vyote hivyo na wewe unambania kumpa haki yake naye akifanya hivyo ni sawa kwako?