INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

Kwa haraka hilo ghorofa upandeni la mtu anayeweza kukuchungulia unaweza kudhani ni part ya hii nyumba...

Ndio maana kuna sehemu plan za nyumba zinapangwa mtaa mzima kwamba ziwe vipi; unaweza mtu umejenga nyumba yako unapigwa upape majirani wanakuja na kukuziba na kuzuia ile breeze...., Nadhani na huku tutafika Master Plan ya sehemu inasema kabisa majengo ya kujenga kama ni magorofa au vipi hususan sehemu zenye nyumba nyingi per area
Uko sahihi. Hata mimi nilipoangalia hizo picha wazo la kwanza kunijia lilikuwa hilo hilo.
 
Unaweza kuja kupaona kabisa mvua ikiwa inanyesha,Karibu.
Tena wakati huu wa masika ndiyo mzuri sana wa kununua kiwanja au nyumba au kupanga nyumba. Kuna jamaa yangu alipanga sehemu, nyumba nzuri sana, bei siyo kubwa. Mwezi wa nne ulipofika ndiyo aligundua ni kwa nini bei ilikuwa chini kwa sababu nyumba ilijaa maji.
 
funzadume mzee mwenzangu umekuwa mkali kwenye huu uzi kama Le mutuz...may he continue to RIP.

Anyway kila mtu ana experience tofauti kwenye ujenzi. By the way hata ujenzi una mengi. Kuna hustle nyingi. Mafundi wetu wanakatisha tamaa kwa wizi, uzembe nk...

Overall hiyo nyumba ni nzuri. Seems mwenye nayo ni mtu anajielewa. Na inawezekana anaiuza kwa sababu ya shida ya ghafla. It's a beautiful house.
 
Ukute kuna watu wanahisi na hilo ghorofa ni sehemu ya nyumba inayouzwa!! Maana kuna mtu kazungumzia servant quarter na nimeitafuta siioni zaidi ya kuona hicho kama kipatio.
 
kama umeipenda hii nyumba usichelewe ,imeshafika kwa madalali naona bei yao ni milioni 230.
 
funzadume mzee mwenzangu umekuwa mkali kwenye huu uzi kama Le mutuz...may he continue to RIP.

Anyway kila mtu ana experience tofauti kwenye ujenzi. By the way hata ujenzi una mengi. Kuna hustle nyingi. Mafundi wetu wanakatisha tamaa kwa wizi, uzembe nk...

Overall hiyo nyumba ni nzuri. Seems mwenye nayo ni mtu anajielewa. Na inawezekana anaiuza kwa sababu ya shida ya ghafla. It's a beautiful house.
Nimekubali yaishe mtu kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom