Nyumba 10 ambazo design zake ni gumzo la dunia

Nyumba 10 ambazo design zake ni gumzo la dunia

Nimependa hizo dizaini za kwenye minuuko! Nikipata hela tu, natafuta mwinuko makusudi ili nami nikajenge huko!
 
Mamsera sehemu gani hapa rombo niipige picha
Leo nimeamini kuwa kuna watu tupo mtaa mmoja na hatufahamiani.... Hahahah... Haya bhana. Ngoja mimi niingie mengwe hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
number 1 mbona hata TZ kibaaao au hanjafika kintinku? hapo kwa Job zipo sana na hata kwa balozi wetu kule rwanda mwe!!
 
Leo nimeamini kuwa kuna watu tupo mtaa mmoja na hatufahamiani.... Hahahah... Haya bhana. Ngoja mimi niingie mengwe hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa kanisa la pd Pius. Mbele kidogo Kuna workshop ya kkkt nipo hapa. Karibu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio mema?
Nyie watu mbona wote mitaa hiyo hiyo niliyopo [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] kwa mara ya kwanza JF nimeshuhudia majirani
 
Kuna nyumba nilitaraji kuiona hapa lakini lah...

Ni nyumba ipo chini ya ardhi na inatumika kwa makazi kama nyumba tu iliyojengwa juu ya ardhi...
 
Nikipata mipesa mingiiii nitajenga ya chini ya ardhi
 
Back
Top Bottom