Siwezi kuishi ardhini kama sisimizi maana kila kiumbe Mungu alikiumbia mahala pake sahihi kimaisha.
Hahaha... Mamsera kati? Ile itakuwa fullsuiteHiyo ya 4 imefanana na ile yangu ya Mamsera
Mamsera ChiniHahaha... Mamsera kati? Ile itakuwa fullsuite
Nilipita huko mwishoni mwa 80s. Siku 2 toka Moshi mpk Tarakea.Mamsera Chini
Unaishi mbingu ya ngapi papaa mopao?
Mamsera sehemu gani hapa rombo niipige pichaHiyo ya 4 imefanana na ile yangu ya Mamsera
Nitakuaminije kama hutanifanyia ukoraMamsera sehemu gani hapa rombo niipige picha