Nyuma yako (Riwaya ya S. Mollel)

Aisee hatimaye nimewafikia nilianza kuisoma kwa kuchelewa kazi nzuri stiv
 
Hii riwaya tuliambiwa imeisha itakuwa ni kutupiwa tu, lkn mpka tumuite kwa sauti ya kwanza.
 
Au anauza tununue?

Mbona tunaachwa kwenye mataa Sasa?
 
Naludia mkuu wa tz wengi wavivu na hatuna shukrani,msamehe tu
Ndugu usidhani kuwa mimi sina kazi, kuwa nikiamka mpaka kulala kwangu ni JF. Ndo mana ninapopata nafasi natuma niwezavyo. Mbona ni wahaba wa shukrani ninyi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…