Nyuma ya pazia ya Operesheni Tokomeza

Nyuma ya pazia ya Operesheni Tokomeza

Kuna mambo mengi msiyoyajua kuhusu operesheni tokomeza. Leo nimekuwa nikiongea na kaka yangu, ambaye ni mmoja wa wanajeshi walioshiriki operesheni tokomeza, amenifumbua macho sana kuhusu unyama uliofanywa na wanajeshi kwa raia na mali zao, hasa mifugo. Kuna uovu mwingi na wa kutisha walioutenda ambao haujaripotiwa wala kuwewwa wazi na tume ya Lembeli kwa sababu ambazo hazijulikani kwa mtu yeyote mpaka sasa.

In fact, what has been revealed by Lembeli's inquiry commision is just a very small fraction of the tip of an iceberg. Ndugu zangu, maovu yaliyotendwa na wanajeshi hayasimuliki. Ngoja tusubiri tuone kama tume itakayoundwa kufanya uchunguzi wa kina itakuja na majawabu mapya kuhusu uovu wote uliotendeka. Endapo tume hiyo haitataja haya maovu niliyosimuliwa na mwanajeshi, nipo radhi kuvua nguo zangu zote na kutembea uchi mitaani. Ni bora kuwa chizi ili nisiendelee kuyaona haya maovu wanayotendewa raia wasiokuwa na hatia.

Sasa unaficha ficha nini ? Wewe Ndio adui wa Haki weka wazi ulichoambiwa vinginevyo wana JF watakufikiria unataka kujua mengineyo lakini umekuja na Story ya kubuni tu
 
Huyu kaja kivingine anasaka Habari kwa staili ya aina yake yaani kazuga Kuwa alipewa story na Mjeshi ili aaminike !
 
In fact, what has been revealed by Lembeli's inquiry commision is just a very small fraction of the tip of an iceberg.
Mimi nahisi kuwa ulikuwa na kiu tu ya kuongea hicho Kiinglishi chako.
Kaka yako ndiyo amekusimulia hivy hivyo jumla jumla?
Mwambie aache kukudharau kihivyo, maana hapo tayari wewe na Lembeli mnaonekana ni mapacha wa akili.
 
wewe na lembeli majangili... Mnataka u-waziri kwa kuwahujumu mawaziri wenzenu....

sasa mimi nahusikaje katika ujangili wakati mimi ndiye ninayewatetea wanyonge waliouawa na kunyanganywa mali zao kufuatia unyama huu wa operesheni tokomeza?
 
Sasa unaficha ficha nini ? Wewe Ndio adui wa Haki weka wazi ulichoambiwa vinginevyo wana JF watakufikiria unataka kujua mengineyo lakini umekuja na Story ya kubuni tu

hii story ni ya kweli na nimesimuliwa na kaka yangu wa ukweli tukiwa katika maongezi ya kawaida. sio nia yangu kuuficha ukweli kwani cku zote mm huusimamia ukweli hata kama unauma. matukio mengine ni ya kutisha na ni ya aibu kuyasema hadharani lakini kama mnadhani mimi ni muoga nikiamua kuumwaga huo ukweli msije mkanilaumu kwamba nimesema mambo ya kutisha na ya aibu hadharani
 
sasa mimi nahusikaje katika ujangili wakati mimi ndiye ninayewatetea wanyonge waliouawa na kunyanganywa mali zao kufuatia unyama huu wa operesheni tokomeza?
haya mambo si yalishaisha? na Mawaziri kibao wakajiuzulu
asa Tembo mnazidi kuwamaliza na peration inarudiwa upyaaaaaaaaaaa
Acheni kuwamaliza Tembo na Vifaru wetu
Hakuna watu wabaya km Majangili huko Mikumi wamewaua askari wetu ndio maana JWTZ liingie NA UVUE NGUO
 
kaka yako hajakuambia kiliachwa na akina lembeli,kamati ilishamaliza kazi wewe tupe ulichoambiwa au uanze usiku kuu kuanika nyeti zako
Maumivu ya kichwa huanza polepole! TPaul subiri kuokota makopo labda uongee nduguyo kakwambiaje!
 
Sometime Ubishi hauna maana mim nimeona kwa macho yangu wasukuma wame kamata mifugo yao nawao wanateswa vibaya wanaminywa korodani watoe hela,wananyimwa chakula wamefungiwa ndani ya gari kwa mda mrefu,,kutana na simba sio gemu,askari pori hawafai hawa wadudu hatakidogo,

Utakuwa unafanya nn hadi ukutane na game skaut, majangili wapigwe tuuu ukiona namna tembo wanavyuuawa wapigwe tuuu
 
tatizo la baadhi ya watu humu jf ni kwamba wapo kama matomaso. nimeona niseme kwa ufupi ushuhuda nilioupata kutoka kwa mwanajeshi huyu kwa ufupi:

1. kuna wanaume wengi waliobabuliwa makalio na kubaki vilema hadi leo. yaani bati linawekwa motoni mpaka linakuwa red hot halafu wanaume wakiwa uchi wanaamrishwa wakae juu ya bati hilo na kukaangika makalio kama nyama choma! pata picha hapo.

2. wanaume waliingizwa misumari ya moto, chupa na majiti kwenye haja kubwa kuwalazimisha wataje majangili. baadhi yao waliteswa kwa kufungwa kamba kwenye korodani na kuning'inizwa juu ya miti.

3. ng'ombe waliouliwa ni zaidi ya 5,000, sio mamia kama ilivyosema kamati ya Lembeli, na walikuwa wanauliwa kinyama tofauti na ilivyosemekana.

4. wanaume walilazimishwa kufanya mapenzi na ng'ombe wao--ukigoma kufanya, ng'ombe wako anapigwa risasi hadharani!

5. kuna baba alilazimishwa kuzini na mwanae wa kumzaa mbele ya familia yake!
 
Mkuu tpaul ungetuwekea humu uliyohadhithiwa na kaka yako mwanajeshi
 
Last edited by a moderator:
hii story ni ya kweli na nimesimuliwa na kaka yangu wa ukweli tukiwa katika maongezi ya kawaida. sio nia yangu kuuficha ukweli kwani cku zote mm huusimamia ukweli hata kama unauma. matukio mengine ni ya kutisha na ni ya aibu kuyasema hadharani lakini kama mnadhani mimi ni muoga nikiamua kuumwaga huo ukweli msije mkanilaumu kwamba nimesema mambo ya kutisha na ya aibu hadharani
Ukiwa huna yatima uloachiwa na askari aliyeuawa na majangili unaraha sana unaweza kejeli yote yafanywayo kutokomeza ujangili na kama huna ndugu au kaka yako mwanajeshi aliyeuawa na jangili mfano aliyeuawa Sikonge Tabora unaweza kusema lolote maana waliokufa hawakuhusu na ripoti ya Lembeli haijataja ni askari wangapi walokufa katika operation! Na kwa vile wewe mleta maada inaonyesha kwa namna moja ama nyingine unashabikia tembo kuendelea kuawa na huenda una mtu wa karib yako anayehusika na uhalifu huu ndo maana inakuuma kwanin afanyiwe mateso ili aseme silaha ziliko na nyara za serikali ziko wapi? Na sio wewe tu unayelalamika kuwa kuna ukiukwaji wa haki za binadam kwa mhalifu kuawawa baada ya kupambana na wakamataji na yeye mhalifu akiua askari au mwanajeshi ni haki za binadamu ila kuwawa yeye ni kukiuka haki za binadamu. Elewa ipo siku ukweli utajulikana waliokuwa nyuma ya biashara hii haramu
Ukikutana na jangili lenye silaha porin kwa kauli yako hii basi usijifiche bali piga kelele ili akuue maana wewe kumkabili ili umkamate dhambi na hata wewe kumrushia risas dhambi bali mkimbilie ukamkamate kwa mikono na yeye hawez kukuua kwa vile watu iman sana wanaokaa porin na kuua tembo na kufanya ujangili mwingine. Kwa vile wewe ni mwelewa sana kwa kuwaambia wenye silaha haramu leta na watakimbia mara moja kwenda kuzifukua walikozifukia haraka tu maana wewe ni mtu wa kauli tu na wanatekeleza na akikupa kifaa chake cha kazi yeye aendelee kuishi bila nacho kwa amani kabisa. Nadhan wewe ungefaa sana kwenda kwenye hii operation ili ukikuta gogo limewekwa kuzuia gari wewe ushuke ili wewe wakikuua wengine kwenye gari wajue wako wapi wapambane kuokoa maisha yao maana wewe ni muumin mzuri bora uende mbinguni bila dhambi!
 
tatizo la baadhi ya watu humu jf ni kwamba wapo kama matomaso. nimeona niseme kwa ufupi ushuhuda nilioupata kutoka kwa mwanajeshi huyu kwa ufupi:

1. kuna wanaume wengi waliobabuliwa makalio na kubaki vilema hadi leo. yaani bati linawekwa motoni mpaka linakuwa red hot halafu wanaume wakiwa uchi wanaamrishwa wakae juu ya bati hilo na kukaangika makalio kama nyama choma! pata picha hapo.

2. wanaume waliingizwa misumari ya moto, chupa na majiti kwenye haja kubwa kuwalazimisha wataje majangili. baadhi yao waliteswa kwa kufungwa kamba kwenye korodani na kuning'inizwa juu ya miti.

3. ng'ombe waliouliwa ni zaidi ya 5,000, sio mamia kama ilivyosema kamati ya Lembeli, na walikuwa wanauliwa kinyama tofauti na ilivyosemekana.

4. wanaume walilazimishwa kufanya mapenzi na ng'ombe wao--ukigoma kufanya, ng'ombe wako anapigwa risasi hadharani!

5. kuna baba alilazimishwa kuzini na mwanae wa kumzaa mbele ya familia yake!
Inatisha na kusikitisha sana........... Hawa ndiyo wanajeshi wanaolipwa kwa kodi zetu! Watanzania tuamke jamani tunadhalilishwa kwenye nchi yetu!
 
Endapo tume hiyo haitataja haya maovu niliyosimuliwa na mwanajeshi, nipo radhi kuvua nguo zangu zote na kutembea uchi mitaani. Ni bora kuwa chizi ili nisiendelee kuyaona haya maovu wanayotendewa raia wasiokuwa na hatia.

wewe ni he or she?

to be honest, inauiza sana moyo kuona walinda usalama ndio manakua hatari kwa usalama wa raia
 
Ukiwa huna yatima uloachiwa na askari aliyeuawa na majangili unaraha sana unaweza kejeli yote yafanywayo kutokomeza ujangili na kama huna ndugu au kaka yako mwanajeshi aliyeuawa na jangili mfano aliyeuawa Sikonge Tabora unaweza kusema lolote maana waliokufa hawakuhusu na ripoti ya Lembeli haijataja ni askari wangapi walokufa katika operation! Na kwa vile wewe mleta maada inaonyesha kwa namna moja ama nyingine unashabikia tembo kuendelea kuawa na huenda una mtu wa karib yako anayehusika na uhalifu huu ndo maana inakuuma kwanin afanyiwe mateso ili aseme silaha ziliko na nyara za serikali ziko wapi? Na sio wewe tu unayelalamika kuwa kuna ukiukwaji wa haki za binadam kwa mhalifu kuawawa baada ya kupambana na wakamataji na yeye mhalifu akiua askari au mwanajeshi ni haki za binadamu ila kuwawa yeye ni kukiuka haki za binadamu. Elewa ipo siku ukweli utajulikana waliokuwa nyuma ya biashara hii haramu
Ukikutana na jangili lenye silaha porin kwa kauli yako hii basi usijifiche bali piga kelele ili akuue maana wewe kumkabili ili umkamate dhambi na hata wewe kumrushia risas dhambi bali mkimbilie ukamkamate kwa mikono na yeye hawez kukuua kwa vile watu iman sana wanaokaa porin na kuua tembo na kufanya ujangili mwingine. Kwa vile wewe ni mwelewa sana kwa kuwaambia wenye silaha haramu leta na watakimbia mara moja kwenda kuzifukua walikozifukia haraka tu maana wewe ni mtu wa kauli tu na wanatekeleza na akikupa kifaa chake cha kazi yeye aendelee kuishi bila nacho kwa amani kabisa. Nadhan wewe ungefaa sana kwenda kwenye hii operation ili ukikuta gogo limewekwa kuzuia gari wewe ushuke ili wewe wakikuua wengine kwenye gari wajue wako wapi wapambane kuokoa maisha yao maana wewe ni muumin mzuri bora uende mbinguni bila dhambi!
Mkuu,
Unachokisema ni sawa kwamba Majangili pia waliua wanajeshi ambao ni watanzania wenzetu wakiwa kazini, lakini labda nikuulize hivi;
Jangili kuua askari inaingia vipi mtu kuambiwa afanye mapenzi na mnyama? Inaingia vipi askari kumlazimisha baba kufanya mapenzi na mwanae? Je, hao watu waliounguzwa makalio ndiyo majangili?

Jamani hapana......... Tulipo siko!
 
Maovu yasiyo elezeka Ndio yapi?Mbona huyasemi acha siasa wewe alafu sio wanajeshi ni majeshi yote mbururaa wewe
 
You better be very open minded...inawezekana unajua mengi.. Weka janvini. Kuna mtu mmmoja nilimsikia anasema Kuwa huko kwenye hifadhi ya Nyaua iliyopo mkoani tabora wakati operation ikiendelea mfugaji mmmoja alikutwa na Mifugo ndani ya hifadhi, jamaa wakiwa wanajaribu kudhibiti walitaka kuzidiwa na baadhi ya Mifugo ambayo inaonekana ilikuwa Kama ndio walinzi wa mingine. Jamaa ikawatia risasi, mwenye Mifugo akalalama akisema Kuwa ni bora wangemuua yeye, mjeshi mmmoja akasema Huyu mzee kichaa nini..., mwingingine akamaliza kwa risasi ...Mifugo ikapigwa mnada as usual ...........
 
mleta mada amemuiga Zitto majina ya uswiss ninayo baadae hana.
na wewe tukikubana utasema huna hiyo story
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom