popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,608
Wamarekani wana kikosi maalumu cha kupambana na shambulizi na nyuklia na wameanza mazoezi,naamini wanacho kitu hatujui kuhusu siraha hizo,tutajua siku shambulizi litatokea baada ya kuona watachofanya,NI JAMBO LA MUDA TUNYUKLIA ITAKUWA SI KITISHO TENA.
Tusubiri,zipo siraha za kujilinda na kushindia nyingi sirini hatuzijui na hazijtambuliswa,hizi tunaona kwa TV ni zile wanazolenga kufanyia biashara lazima wazioneshe,jamaa wapo mbali ya hapa tunapoona