Nyongeza ya Mishahara: Ni hisani ya Rais, haki ya Watumishi au ni takwa la kisheria kwa Watumishi?

Jamaa limepiga kampeni tangu 2015 peke yake na bado hajajiridhisha linaendelea kila siku live kwenye tv yeye tu
 
February 21, 2020

Abdul Nondo azungumzia vijana na ajira

Mwanachama wa ACT-Wazalendo Abdul Nondo amewatka vijana wa CCM kuacha kuunga mkono kila jambo linalofanywa na watawala kwakuwa wananafasi kubwa ya kukosoa na kuwaunganisha vijana kama Taifa



Source: MwanaHALISI TV
Kauli mbiu: Sera ya kujiajiri na ajira haina chama, tuungane kudai sera bora ili mamilioni ya 'wamachinga' na tukaao 'vijiweni' tupungue mitaani
 
Back
Top Bottom