SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
TICTS alileta akili za kifisadi, wanasheria wetu wakapitia mkataba wakagundua udhaifu ikabidi wampige chini mwaka 2019. Kuanzia kipindi kile mpaka mwaka 2023 tukaweza kuingia mkataba na DP World.

Fitina nyingi mahali penye riziki, pia viongozi wa serikali walikuwa sehemu ya wapigaji wa pale TPA wakaleta ugumu mwingi wa kumuachia mwekezaji awekeze.

Samia ni chuma kweli kweli, akaendelea na msimamo ule ule licha ya mbinu chafu za wapigaji ambao walidiriki kuwatumia mpaka viongozi wa dini makanisani katika kupinga kitu wasichokijua vyema.
 
Haya mambo ya kuangalia / kupima so called nyomi badala ya what is on the table au kinachoongelewa kama kinaendana na Itikadi yako nadhani ni Herd Mentality..., ndio maana nilishasema hivi Siasa / Vyama vimekuwa kama Simba na Yanga au platform za Ulaji na sio utofauti wa fikra za uongozi

Binafsi hata kama nitakuwa peke yangu nasikiliza na ninachosikiliza kina mashiko taona anayekielezea ana tija kwangu kuliko tukiwa wengi tunaambukizana communicable diseases na kusikiliza upupu
 
Sahihi kabisa;

Na watu wengi wasichojua serikali haifanyi kazi kama risasi - inaprocess nyingi; procedure hii ilikuwa ya muda mrefu kidogo.. na kwa namna yeyote TICTS alilea in efficieny kibao ... sasa alivyokuwa akitolewa likatengenezwa zengwe kuwa tunauza bandari lakini kimsingi hoja ingekuwa tunakodisha baadhi ya berth...

Kanisa nalo lilikneka lilikuwa na stake fulani fulani(hii ni hoja ngumu sana) - waraka wa ajabu kweli ukatoka...Rais akalaumiwa sana na kuwekewa uarabu uarabu as if DP ni kampuninya kinyone wakati ina run hadi baadhi ya orys Marekani...

Klikuwa vita ya waarabu na wazungu - ila Tanzania ilishinda. Sema tu SSH huwa hajitapi hadharani kama JPM.. ila hili alitakiwa ashambulie sana (kama angekuwa JPM 1 hihiiiiiii) -
 
Samia hawezi kuliwekea visasi kanisa katoliki, Serikali inalihitaji kanisa na kanisa linaihitaji serikali.
 
Ubaya uko hapa:

"Tangia 2021 kavuta miguu kuhusu mabadiliko kwa hila ili kwa namna yoyote awe kitini hadi angalau 2030."

Yaangalie maneno yaliyopigiwa mstari kama mwenye akili timamu.

Tatizo huoni wewe?
Acha ujinga brazaj !!! Nani kati yetu angeingia Machi 2021 na kuanza kutengeneza Katiba Mpya? Usijizime data
 
Kwa miaka ya sasa ingekuwa ni TOT band pekee inatumika watu wasingeenda kwa wingi mikutanoni kuwashangaa tofauti na wasanii miziki yao inasikika redioni, youtube, video nk
TOT imechuja ndio maana hamuitumii!!.
Kwani Twangapepeta na Ngwasuma bado wapo?
 
Dog ! Sasa yeye c ndio mhitaji anataka kula na kura kwanini asiwafwate? After all wananchi ndio mabosi wake you Dog!
Tanzania ina halmashauri 185 na vijiji 16,000 nchi nzima na kuna siku 90 za kampeni.

Hata kama huna D mbili utajuwa tu kuwa haiwezekani kutembelea vijijini. La 7 B mna shida sana
 
CHADEMA wameweka mpira kwapani, walikataa kusani kanuni za maadili
 
HAPO BADO ARUSHA, HUENDA ARUSHA IKAVUNJA REKODI YA MAHUDHURIO KAMA SI MWANZA NA KIGOMA,


deal of million dollars, kwishaaaaa
 

Hii habari mlitengenezea Masaki?
 
Wewe jamaa una utani mbaya sana. Yaani huyu ndiye kakupa ajira hii!
Utani unaanzia wapi? Oktoba si hiyo hapo usoni?? Tunatiki na Samia tunaye hadi 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…