SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
Mange Mikutano.jpg
 
Tunachokijua
Mange Kimambi amejitanabaisha kama mwanaharakati wa masuala mbalimbali hususan ya kisiasa. Amekuwa akizungumzia mambo mengi ya kisiasa yanayoendelea nchini Tanzania.

Madai

Hivi karibuni kumeibuka ujumbe ama chapisho linaloonekana kuchapishwa katika ukurasa wa mtandao wa X wenye utambulisho wa Mange Kimambi, Tazama hapa. Chapisho hilo linaandika;

Kiukweli Watanzanua mnakera, mnajaza comments hapa na bado mnajaza mikutano ya CCM. Hapa ni Mbeya leo (Inafutwa).

Je, ni kweli chapisho hilo limeandikwa na Mange Kimambi?

Ufuatiliaji wa kina uliofanywa na JamiiCheck umejiridhisha kuwa chapisho hilo si la kweli.

Utafutaji kwa kutumia maneno muhimu yaani Keyword Search, JamiiCheck imejiridhisha kuwa hakuna ujumbe wowote katika ukurasa wa X wenye utambulisho unaonekana kwenye chapisho hilo ambao umechapishwa, hivyo basi chapisho hilo ni la kughushi.

Chapisho hilo linalosambazwa ni la kughushi kwani linakosa baadhi ya vitu muhimu ambavyo vinaonekana katika ukurasa wa X. Mathalani rejelea sehemu ya chini ambayo inaonesha muda na tarehe, inakosekana sehemu inayoonesha views (waliotazama), rejelea pia mpangilio wa tarehe.

Aidha ufuatiliaji kwa njia ya mtandao umebaini kuwa hadi wakati taarifa hii inaandikwa Septemba 05, 2025 ukurasa huo ulichapisha taarifa kwa mara mwisho Juni 16, 2025 na ku repost kwa mara ya mwisho Agosti 10, 2025 ambayo ndiyo taarifa ya mwisho inayoonekana ukiondoa 'Pinned post'. Lakini pia taarifa hiyo haipo katika ukurasa wake wa X ambao ndiyo amekuwa akiutumia mara kwa mara.
View attachment 3465307
Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
Aliyekupa hii ajira ana upeo finyu chini yako. Anyway keep it up
 
Kama ww ingetokea kuwa kuna usafiri wa bure na ubwabwa bwerere wa pesa ya mafisadi iliyochangwa pale Mlimani City, pia show za bure za wasanii utaachaje kwenda kumuona kahaba wa taifa aliyeuza bandari ?
 
View attachment 3465307
Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
Kwa hiyo hao wote hapo watapigwa kura?
Sisi tumekuja kwenye mikutano kwa sababu ya vishawishi: nguo, pesa, mchele, mafuta, sabuni....kwa usawa huu nani akatae vitu vya Bure?
 
MIkutano ya sa100 propaganda mingi watu waonekane weengi kwamba anakubalika...sio kweli, jiulize nguvu inayotumika kuvuta watu hapo kwenye mkutano.
Mkutano wowote wa sa100 ukiwa na nyomi kama hilo pasipo kusomba watu kwa malori wala wasanii kutoa show za bure....naahidi oktoba nitatik!!.
 
Hizo ndiyo strategy. Hata wakati wa Mkapa kulikuwa na TOT Band chini ya Capt John Komba. Nothing new
 
View attachment 3465307
Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
NAomba ile video ya waliomwagwa na fuso mmoja analia anataka kukojoa. Yaani hata fuso liliona haliwezi shiriki upuuzi likawamwaga
 
Ndo siasa hizo.
Wakija chadema watasikilizwa, wakija ccm watasikilizwa.

Muamuzi ni box la kura, kama lingekuepo
 
Sio fake news Source: YouTube - YouTube ona hii mbeya
Watu hawaamini macho yao. Wao wako huku JF wanaandamana, wanatabiri uchaguzi hautakiwapo, wanamtabiria Samia kifo, wanatabiri serikali itashinda, wanatabiri wafadhili watasitisha misaada. Halafu wanaamini Samia anachukiwa kwa vile wanamchukia wao.

Kuna wakati wanamuita Tundu Lissu Rais
 
Back
Top Bottom