Nyoka wenye vichwa viwili

Ama kweli MALIMWENGU kuna mambo! Ss ataonekana mwenye vichwa saba na hapo ndipo andiko takatifu ktk hali ya Injili kama M2me Paulo alivyowaeleza Walimwengu ktk ukurasa wa UFUNUO WA YOHANA ya kwmb zile cku zikikaribia maajabu yataonekana mengi sana. NA HIYO YA VICHWA MBILI NI CHA MTOTO.
 
Hawa nyoka inaonekana kama wapo wengi wa aina hii, kwa binaadamu iliwahi kutokea kule BANGLADESH nakumbuka yule dada mwenye vichwa viwili Abby! ana akili sana alikuwa university sijui maisha yake kwa sasa! Mtafute youtube ABBY CONJOINED GIRL.
 
Bujibuji tafadhari tena tafadhari sana! Wacha hadithi za kitoto hizo! Yaani unataka kutuhadithia hadithi za kitoto sisi watu wazima?
 
Hata Binadamu wapo wenye vichwa vinavyo share mwili mmoja.

two-headed-girl.jpg



two-headed-baby.jpg
 
Last edited by a moderator:
Toa tahadhari kwanza kabla ya kuingia huku mkuu maana tayari na mimi ushaniharibia siku.
 
kama ilivyo kwa binadamu wengine huzaliwa wakiwa wameungana hata wka viumbe vingine pia yapo hayo so nikushangaa maajabu ya MUNGU wetu mkuu ajuaye mengi kuliko uwezo wa binadamu.
 
Back
Top Bottom