Nyoka wa Ajabu Agunduliwa...

View attachment 62759Wanasayansi nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka vipofu wenye umbo kama uume wa binadamu.

Nyoka hawa wa ajabu aina ya ‘atretochoana eiselti’ walipatikana kwenye bwawa la kuzalisha umeme ambapo wakandarasi walikuwa wakifanya ukarabati kwenye misitu ya Amazon.


Wana baiolojia waliwapata nyoka hawa wenye umbo la ajabu sita wenye urefu wa mita moja chini ya mto Madeira huko Rondonia, Brazil.

niliona hii makala youtube, sio nyoka kwanza hata sio reptiles video hii hapa >>>http://www.youtube.com/watch?v=CH3o8bllB_A
 
kitalolo nimechekelea nyoka asiyeng'ata


Ukikutana na nyoka asiyengata utaruka kama huyu

97 Flying Girl.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom