Nyoka wa Ajabu Agunduliwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyoka wa Ajabu Agunduliwa...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Aug 24, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  1.jpg Wanasayansi nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka vipofu wenye umbo kama uume wa binadamu.

  Nyoka hawa wa ajabu aina ya ‘atretochoana eiselti’ walipatikana kwenye bwawa la kuzalisha umeme ambapo wakandarasi walikuwa wakifanya ukarabati kwenye misitu ya Amazon.


  Wana baiolojia waliwapata nyoka hawa wenye umbo la ajabu sita wenye urefu wa mita moja chini ya mto Madeira huko Rondonia, Brazil.
   

  Attached Files:

  • 2.jpg
   2.jpg
   File size:
   90.6 KB
   Views:
   306
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kweli nyoka wa ajabu huyu
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Boflo mie nikajua umejipiga picha lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  bofloooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwanamke mkware akiiona hii picha saa hizi kimboga jela kishasisimka mwanangu.
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa huyo nyoka si lazima ana tabia ya kudinda nyakati za asubuhi.
   
 8. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hv hakunaga tuzo ya the funiest person hapa Jf nikupendekeze uichukue we Boflo ?
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  boflooooooo huyo na post zake za kuvunja mbavu!!! Haha hivi maana ya boflo ni nini?
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwenye hiyo picha ya kwanza assume ni mwanamke anatoka jela ana ugwadu halafu ndo anaona kama ambavyo hiyo picha inavyoonekana akiruhusu macho yake yakague sana kwa kweli atajichafua.hiyo picha haifai kuangaliwa na wakina dada wenye mawazo yanayosafiri haraka.
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naiangalia siimalizi mungu huyu kamtahiri kabisa aisee kweli duniani viwili viwili usishangae kibyongo kufanana na kichuguu.boflo bana.
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  uko sawia......mwambie Roulette
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  makubwa coz inafanana na ya .....kwa.......................
   
 14. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umeona.....si muda mrefu hawa nyoka watafanywa deal.....wanawake watakuwa wanawanunua

  halafu hawana macho kama dushelele
   
 15. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bofloooooo! haya mamboo ya kibantu bana.
   
 16. b

  babj ngoiya Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha mnatutisha kumbe ziko za kila dizaini hapo kuna kamchina kidogo:israel:
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Hebu subiri niangalie kwanza wa kwangu ndii nilinganishe na huyo nyoka
   
 18. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usisahau kutupatia feedback.
   
 19. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  what about feedback?
   
 20. J

  Juma Kilaza Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  hawa ni nyoka au ni kambale samaki
   
Loading...