Ulitaka niandike maneno ya uongo kwenye habari ya huyu nyoka? basi nilikuwa ninakwenda mjini iringa nimekutana nae Mikumi ndio nikaamuwa kumpiga picha huyo nyoka mkuu unasemaje sasa umefurahi na habari yangu?
Samahani, huyo siyo koboko ila anaweza kuwa chatu. Angalia koboko/black mamba huyu hapa chini. Tembelea vijiji vya ndani ndani mikoa ya Katavi, Tabora, Manyara, Lindi na Rukwa waweza kuwaona kama utapata bahati mbaya!!!
Samahani, huyo siyo koboko ila anaweza kuwa chatu. Angalia koboko/black mamba huyu hapa chini. Tembelea vijiji vya ndani ndani mikoa ya Katavi, Tabora, Manyara, Lindi na Rukwa waweza kuwaona kama utapata bahati mbaya!!!
Mijitu Mingine Kweli Ni MIPOPOMA! Hivi Utachukuaje Picha Ya ktk Mitandao Ya Majuu UNYAMWEZINI Na Kujifanya Kuwa Imetokea Hapa Kwetu Nchini Tanzania? Anyway Asante ILA Mimi Kwangu Nawafuga Wengi tu Kama Hao. Unawataka?
duu ..... Hakuna njia mbadala/nyingine ya kuweza kukabiliana nae ? Maana hii ya kujitwika chungu cha moto inahitaji uwe na ujasiri wa ziada.......je akigonga hicho chungu hakipasuki ? Nini madhara kwa mbebaji wa hicho chungu ???
hakuna madhara,labda akikosea kugonga,agonge bega,lakini uwa tunajiprotect,nakumbuka dodoma mpwapwa koboko alimgonga mtu na kufa hapo hapo na mwili ulibadilika rangi na kuwa blue,akikugonga ni bora ukae chini ukitembea poison inasafiri faster mwili wote,pia hapo hapo mpwapwa kikombo road koboko aliwahi kugonga kioo cha gari cha mbele akidhania watu wale wapo nje,kile kioo akikupasuka ila kilichange rangi na kuwa blue na kama ukungu,sumu yake uwa inakimbilia kwenye brain na masozi.ni nyoka mkali sana,akishituliwa uwa anagonga hata mti au jiwe.