Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,138
Kwa nini hommie?Nina mashaka na hiyo habari....
Mmh huyu bado mzima huyuYaliyojiri;
"Nyoka mkubwa ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa KINAPA katikati ya hifadhi ya msitu wa Ibukoni wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wakati ujenzi wa barabara kuu ya Shimbi Mashariki kutokea Mengwe kupititia Ibukoni ya Juu ukiendelea. Karibu Kilimanjaro imeripoti.
View attachment 322240
Faiza Uongo ni upi hapo kwenye hio taarifa? Maana uwepo wa hio picha kwenye mitandao kwa muda mrefu sio sababu ya kuifanya taarifa hio iwe ya uongo, tuambie kuwa tukio hilo ni la kweli au la uongo? Halikutokea huko Moshi? au kisa umeona neno "yaliyojiri"!!!!! Nisaidie pleaseUongo huo, picha hiyo ipo kwenye mtandao kwa muda mrefu sasa.
Nina mashaka na hiyo habari....
Uongo huo, picha hiyo ipo kwenye mtandao kwa muda mrefu sasa.
Habari ya Uongo ,ni Photoshop tu ya Huyo nyoka.Sidhani hii kuwa Ni kweli....!!!