Nyoka mkubwa auawa wilayani Rombo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,807
34,193
Yaliyojiri;

"Nyoka mkubwa ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa KINAPA katikati ya hifadhi ya msitu wa Ibukoni wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wakati ujenzi wa barabara kuu ya Shimbi Mashariki kutokea Mengwe kupititia Ibukoni ya Juu ukiendelea. Karibu Kilimanjaro imeripoti.
 
Mhhh aisee hapo waangalie vizuri wanakuaga wawili hao

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
Yaliyojiri;

"Nyoka mkubwa ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa KINAPA katikati ya hifadhi ya msitu wa Ibukoni wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wakati ujenzi wa barabara kuu ya Shimbi Mashariki kutokea Mengwe kupititia Ibukoni ya Juu ukiendelea. Karibu Kilimanjaro imeripoti.

View attachment 322240
Mmh huyu bado mzima huyu
 
Nyoka ni wa kawaida na aina hii ya nyoka huwa wanaishi vizuri na binadamu na hawadhuru kabisa
 
aaaggh wamemuua kwani kawakosea nini? Hivi nani anastahili kuuwawa katyi ya huyo nyoka na hao Jamaa? Maana wao ndio wamemfuata kwenye makazi yake! Angekuja kwenye makazi yetu hapo sawa, ila hili la kumfuata porini eti kisa ujenzi wa barabara aaghh haijakaa poa hio kabisa, wanaisaidia kulance ecosystem.
 
Uongo huo, picha hiyo ipo kwenye mtandao kwa muda mrefu sasa.
Faiza Uongo ni upi hapo kwenye hio taarifa? Maana uwepo wa hio picha kwenye mitandao kwa muda mrefu sio sababu ya kuifanya taarifa hio iwe ya uongo, tuambie kuwa tukio hilo ni la kweli au la uongo? Halikutokea huko Moshi? au kisa umeona neno "yaliyojiri"!!!!! Nisaidie please
 
image381-600x350.jpg

700-Pound Snake — Giant Snake Found In North Carolina, Facts And Photos
700-Pound Snake — Giant Snake Found In North Carolina, Facts And Photos

mkuu leo umeteleza kidogo.

kesho usijekutuwekea huyu wa thailand ukatuambia ni Mabwepande
image39.jpg
 
Back
Top Bottom