fofre
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 805
- 1,307
Habari zenu wana jukwaa,
Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza hapo juu,
Ni kwamba siku chache zilizopita nyoka aliingia nyumbani(stoo), kitu cha kwanza tulicho kifanya ni kuchoma mpira (mnati) baada ya muda alitoka, lakini alipotuona akarudi ndani.
Kwakua ilikua ni usiku tukaamua kufunga mlango wa stoo. Kesho yake asubuhi tulimtafuta sana yule nyoka hakuonekana kabisa na hakuna uwezekano wowote wa kutoka kutokana na mazingira yalivyokuwa, baada ya kuwaelezea majirani walisema hiyo hali huwa ni kawaida kutokea na nyoka huwa anapotea.
Wenye ufahamu na hili jambo naomba mnifafanulie nielewe.