Usiku panya huwa anapenya kwenye mlango chumbani kwangu na nimekariri kila saa NNE au tano usiku sasa akiingia nikianza kumsaka simuoni halafu chumbani hamna mavitu kweupe kila nikimsaka simuoni na kweupe sasa nikirudi kwenye kiti itapita muda kidogo namuona ananyata na kupenya kwenye mlango na kusepa nilikuwa najiuliza huwa anajificha wapi wakati kote kweupe na huwa namvizia daily akiingia ninaye lkn sekunde kayayuka simuoni nikawa nastaajabu daily ila kuna siku nikaona kitobo kidogo huwezi kugundua pembezoni ya ukuta nikajua hapo huwa anayayukiaImeshawahi kumtokea rafiki yangu pia,nyoka aliingia chumbani na hakutoka,walifunga mlango wakwaga mafuta ya taa hakutoka na walipomsaka hakupatikana,mimi pia Panya aliingia chumabni kwangu,na tulimsikia akitusumbua usiku mzima, tulipoamka asubuhi kabla ya kufungua mlanguo tulimsaka chumba kizima hakuonekana.Mimi kwa imani yangu naamini kuwa inawezekana ni nguvu za giza ,nilichofanya nimepiga maombi na sijaona huyo panya mpaka leo.
KumbeWanaua kabla ya kukua...
Atakuwa Brown Kwacha huyoBila shaka Joka La Mdimu Hilo
Nitaleta mrejesho baada ya kumwaga mafuta ya taa ila tulitoa vitu vyote stoo kukawa patupuUsijipe bure ' presha ' Mkuu ukitaka kujiridhisha kabisa kama yupo au hayupo tafuta mafuta ya Taa hapo ulipo ingia nayo humo ' stoo ' yamwage kisha toka zako nje nakuhakikishia ndani ya ama Sekunde 30 au dakika 1 huyo Nyoka atakufuata ulipo na kukuomba radhi / msamaha kwani hakuna kitu ambacho kinawamudu Nyoka kama ' Kerosene ' ( mafuta ya Taa ). Hapo huwa hawana ' ujanja ' Mkuu. Hilo la kwamba sijui Nyoka huwa anapotea naomba niwe wa mwisho kuliamini kwani sijazoea kulishwa tango pori / kudanganywa na hizi ' stori ' zetu za Vijiweni na Vibarazani kwani hata Mimi nakumbuka tokea nikiwa mdogo nilikuwa nikiambiwa kuwa ukiwaona Paka Dume na Jike ' wanabanduana / wanatinduana / wanangonoka ' mubashara eti utakufa ila GENTAMYCINE nimekuwa ni ' Mdau 'mkubwa wa kuwaangalia Paka wakifanya hako ' kamchezo ' katamu tokea udogo wangu hadi sasa nawalia tu ' chabo ' nikiwafumania na nipo hai hivi.
walemavu wapo mkuu,nishawahi kuwaona,mmoja yupo pale iringa mjini anauza shanga maeneo ya posta...Wakizaliwa huwa wanauwawa na ndiyo maana huwezi kumkuta mmasai kilema
Mlipokiwa mnatoa vitu mlimbeba ndani ya hivyo vituNa baadhi ya watu nilivyo waeleza walisema hili jambo hutokea sana
maneno mbofu mbofu tuUsijipe bure ' presha ' Mkuu ukitaka kujiridhisha kabisa kama yupo au hayupo tafuta mafuta ya Taa hapo ulipo ingia nayo humo ' stoo ' yamwage kisha toka zako nje nakuhakikishia ndani ya ama Sekunde 30 au dakika 1 huyo Nyoka atakufuata ulipo na kukuomba radhi / msamaha kwani hakuna kitu ambacho kinawamudu Nyoka kama ' Kerosene ' ( mafuta ya Taa ). Hapo huwa hawana ' ujanja ' Mkuu. Hilo la kwamba sijui Nyoka huwa anapotea naomba niwe wa mwisho kuliamini kwani sijazoea kulishwa tango pori / kudanganywa na hizi ' stori ' zetu za Vijiweni na Vibarazani kwani hata Mimi nakumbuka tokea nikiwa mdogo nilikuwa nikiambiwa kuwa ukiwaona Paka Dume na Jike ' wanabanduana / wanatinduana / wanangonoka ' mubashara eti utakufa ila GENTAMYCINE nimekuwa ni ' Mdau 'mkubwa wa kuwaangalia Paka wakifanya hako ' kamchezo ' katamu tokea udogo wangu hadi sasa nawalia tu ' chabo ' nikiwafumania na nipo hai hivi.
Nitaleta mrejesho baada ya kumwaga mafuta ya taa ila tulitoa vitu vyote stoo kukawa patupu
Hapana siyo kweli, nimeshuhudia mmasai kilema miaka ya 2008 kuna shule maeneo ya mbagala alikua mlinziWakizaliwa huwa wanauwawa na ndiyo maana huwezi kumkuta mmasai kilema
Kwa mila na desturi za Masai, yeyote aliyezaa mlemavu alihusishwa na laana hiyo na kuonekana alifanya jambo baya katika jamii. Hivyo, ili kuipoteza laana na kuondoa mkosi huo, mtoto akibainika kuwa mlemavu, alikuwa akiuawa kwa kunyongwa, au kutupwa porini ajifie au aliwe na wanyama.mimi naomba mnifafanulie kwanini hakuna masai albino?
Kwa sababu tuu wewe hujawahi kutana nao husigeneralise kwamba hakuna, mimi nimeenda nao shule na kijijini kwetu walikuwepo mpaka wazazi albino.mimi naomba mnifafanulie kwanini hakuna masai albino?
Kaburi la albino jeWanaua kabla ya kukua...
Kama vipi piga Moto nyumba mzimaNitaleta mrejesho baada ya kumwaga mafuta ya taa ila tulitoa vitu vyote stoo kukawa patupu