Nyoka kuingia ndani ya nyumba na kutoonekana

Nyoka kuingia ndani ya nyumba na kutoonekana

mimi naomba mnifafanulie kwanini hakuna masai albino?

Oculocutaneous albinism is inherited in an autosomal recessive pattern, which means both copies of a gene in each cell have mutations. Most often, the parents of an individual with an autosomal recessive condition each carry one copy of the mutated gene, but they do not show signs and symptoms of the condition.
 
Nyoka anauwszo wakujiminya sana na akapenya sehemu ambayo hutoamini.....lakini kuna mazingira tata hapo kwamba mlivyochoma mpira then akatoka, lakini alivyowaona akarudi ndani ambako kuna nukia mpira..!!!! Ukute jirani yako huyo.

Anyway kama stoo palikua na vitu ukute kajikunyata humo ndani
Kosa kubwa walilofanya ni kumfungia hadi asubuhi, hayupo humo na kama yupo basi ataonekana siku akitaka yeye...

kwa tahadhari tu, fanyeni usafi yakinifu humo kagueni hadi kwenye vikombe na kona kona.
 
Kama una uhakika ulimfungia ndani na hawezi kutoka,basi huyo nyoka yupo humohumo ndani kwa sababu ana uwezo wa kujificha. Au Asubuhi wakati mnamtafuta alitoka bila nyie kumuona. Angalia dstv channel 182 utajua tabia za nyoka
 
Dah jichunguze kama ulimkosea jiran yako la sivyo majibu yote ni batili coz kama ni innocent haina aja ya kuhangaika
 
Njia nyingine, choma pilipili kwenye hicho chumba
 
Mlipokiwa mnatoa vitu mlimbeba ndani ya hivyo vitu
Nilitaka kumwambia hicho kitu, nyoka hasa wale wasio na sumu kali ni wajanja sana kwenye swala la kujificha, unaweza kumbeba pamoja na vitu vingine akatulia tuli, alafu ukimtua hakimbilii kutokomea anaskilizia kidogo kisha anachoropoka kiulaini kabisa. Panya nao ni hivyohivyo
 
Back
Top Bottom