The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,579
- 17,013
Huyo demu unampenda umpendi
kwaiyo unataka kusema waliooana usiku kucha huwa hawalali usingizi?Emmyta, kama ni kulala angelala kwake, pale alikwenda kugegeda na si kulala na kukagua kama kuna kunguni
vitatu na kupumzika ni akija kwako ukienda kwake ni kugegeda tu ndicho kilichokupeleka hapo.kwaiyo unataka kusema waliooana usiku kucha huwa hawalali usingizi?
huyu ni wangu kijana kwaiyo vitatu vinatosha tunapumzka kusubiri morning groly tu!
Emmyta, kama ni kulala angelala kwake, pale alikwenda kugegeda na si kulala na kukagua kama kuna kunguni

kwaiyo unataka kusema waliooana usiku kucha huwa hawalali usingizi?
huyu ni wangu kijana kwaiyo vitatu vinatosha tunapumzka kusubiri morning groly tu!
Mmh! Yaani hutaki mwenzio apumzike.vitatu na kupumzika ni akija kwako ukienda kwake ni kugegeda tu ndicho kilichokupeleka hapo.
Hayo ni mazoea tu ila sio sawa.sijamuoa, ila sikuhizi ndivyo tunavyoishi mjini hapa!
we unapenda mtu anae pumzika pumzika wakati wa gegedo?Mmh! Yaani hutaki mwenzio apumzike.
Huu urafiki wako na Mshana jr unazaa matunda sasaKuna kunguni wa kichawi hao wanakuja usiku mmoja tu kwa ajili ya kuvunja na kuharibu mahusiano. Watch out
Sawa!!! nimekusikia ndiyo maana namvizia Emmyta hapa 🙂 🙂tendo ni lile lile kijana!
oa nawewe upate wa kukesha nae kama mlinzi uone kama ujasinzia kazini kesho yake au kutokufika kabsa
wapi huko unakwenda.... rudi ASAP
Sina jibu ndio maanaw
api huko unakwenda.... rudi ASAP
hivyo wacha tu nikimbieWakuu,
Jana nilifanikiwa kuvushwa na demu wangu ambaye hapo awali alizoea kuja na kulala kwangu, migegedo yote huwa nafanyia kwangu.
Huyu mwanamke ana nyodo na minato hatariii, yaani akija gheto anajifanya mjuvi wa kila kitu na aishiwi kunikosoa juu ya mambo ya usafi na jinsi ya kupanga vitu vya gheto.
Basi wikiend hii ndipo na mimi nikakomaa kwamba lazima nikapumzkie kwake na ikiwezekana nilale huko hadi asubuhi.
Nilifanikiwa kulala huko, yaliyonikuta ni hatari tupu full tafrani na kunguni, yaaani kitanda kina kunguni kama majini wanyonya damu. Usiku kucha hakuna kulala, maana ukitulia tu umeng'atwa!
Nimekaa na kumtafakari leo siku nzima, inakuaje mademu mnajifanya wajuvi kwenye mageto yetu wanaume ilhali ya kwenu yanawashinda?
Nimemwambia sitakubali na siwezi kuishi na mtu mchafu, maana kunguni ndio makazi yao hayo.
