Nyodo nyingi, getho lake limejaa kunguni

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Wakuu,

Jana nilifanikiwa kuvushwa na demu wangu ambaye hapo awali alizoea kuja na kulala kwangu, migegedo yote huwa nafanyia kwangu.

Huyu mwanamke ana nyodo na minato hatariii, yaani akija gheto anajifanya mjuvi wa kila kitu na aishiwi kunikosoa juu ya mambo ya usafi na jinsi ya kupanga vitu vya gheto.

Basi wikiend hii ndipo na mimi nikakomaa kwamba lazima nikapumzkie kwake na ikiwezekana nilale huko hadi asubuhi.

Nilifanikiwa kulala huko, yaliyonikuta ni hatari tupu full tafrani na kunguni, yaaani kitanda kina kunguni kama majini wanyonya damu. Usiku kucha hakuna kulala, maana ukitulia tu umeng'atwa!

Nimekaa na kumtafakari leo siku nzima, inakuaje mademu mnajifanya wajuvi kwenye mageto yetu wanaume ilhali ya kwenu yanawashinda?

Nimemwambia sitakubali na siwezi kuishi na mtu mchafu, maana kunguni ndio makazi yao hayo.
 
Je akija kwako anafanya usafi wa juma
Je ulishawahi kumnunulia ( malalo) Beddings?
Je hajawahi kuja mbegu ya hao wadudu kwako?
Je ulivyotoka ghetoni kwake ulivulia nguo wp maana umaweza kua umebeba mbegu?
 
Je akija kwako anafanya usafi wa juma
Je ulishawahi kumnunulia ( malalo) Beddings?
Je hajawahi kuja mbegu ya hao wadudu kwako?
Je ulivyotoka ghetoni kwake ulivulia nguo wp maana umaweza kua umebeba mbegu?
sijawahi kumnunulia
mavazi niliyovaa nimeyafua na kunyooshwa
 
Mkuu mbona yeye alikuelekeza jinsi ya kupanga chumba? Unaona ugumu gani kumwelekeza jinsi ya kupambana na hao kunguni? Huenda godoro alinunua kwa mtu...
nmemwambia akatafute dawa awaangamize kabisa
 
Back
Top Bottom