Nyodo nyingi, getho lake limejaa kunguni

kama amekuwa akija kwako lazima ameshakuachia chumbani kwako.
 
Hivi bado mnatembelea magheto ya wanawake! hamuogopi kuchomwa? kweli wanaume mna roho ngumu.
 
Ulienda ghetto kwake ama "TARANGIRE National park" mmhh huyo dada ana moyo sana
 
Ingekuwa umesema uliona kunguni kwenye gari la mwanamke ningekuamini.

Lakini kunguni kwenye chumba cha mwanamke ni uongo mtupu! naturally bila hata kutumia juhudi wanawake wengi hujali sana usafi wa nyumba under normal condition.

Napatwa na hisia kuwa umeamua kuandika habari iliyo kinyume na mazoe[nature] ili kusisimua watu.
 
wakuu

jana nilifanikiwa kuvushwa na demu wangu ambaye hapo awali alizoea kuja na kulala kwangu, migegedo yote huwa nafanyia kwangu

huyu mwanamke ananyodo na minato hatariii, yaani akija gheto anajifanya mjuvi wa kila kitu na aishiwi kunikosoa juu ya mambo ya usafi na jinsi ya kupanga vitu vya gheto

basi wikiend hii ndipo namimi nikakomaa kwamba lazima nikapumzkie kwake na ikiwezekana nilale huko hadi asubuhi

nilifanikiwa kulala huko, yaliyonikuta ni hatari tupu full tafrani na kunguni, yaaani kitanda kinakunguni kama majini wanyonya damu!

usiku kucha hakuna kulala, maana ukitulia tu umeng'atwa

nimekaa na kumtafakari leo siku nzima, inakuaje mademu mnajifanya wajuvi kwenye mageto yetu wanaume ilhali ya kwenu yanawashinda?

nimemwambia sitakubali na siwezi kuishi na mtu mchafu, maana kunguni ndio makazi yao hayo
Achana na wanawake tafuta pesa, mpaka leo bado unaishi gheto??
 
aisee we kiboko ushamwambia tu?
 
Mwanaume embu kuwa mvumilivu wa vimambo vidogo vidogo!
 
wakuu

jana nilifanikiwa kuvushwa na demu wangu ambaye hapo awali alizoea kuja na kulala kwangu, migegedo yote huwa nafanyia kwangu

huyu mwanamke ananyodo na minato hatariii, yaani akija gheto anajifanya mjuvi wa kila kitu na aishiwi kunikosoa juu ya mambo ya usafi na jinsi ya kupanga vitu vya gheto

basi wikiend hii ndipo namimi nikakomaa kwamba lazima nikapumzkie kwake na ikiwezekana nilale huko hadi asubuhi

nilifanikiwa kulala huko, yaliyonikuta ni hatari tupu full tafrani na kunguni, yaaani kitanda kinakunguni kama majini wanyonya damu!

usiku kucha hakuna kulala, maana ukitulia tu umeng'atwa

nimekaa na kumtafakari leo siku nzima, inakuaje mademu mnajifanya wajuvi kwenye mageto yetu wanaume ilhali ya kwenu yanawashinda?

nimemwambia sitakubali na siwezi kuishi na mtu mchafu, maana kunguni ndio makazi yao hayo
Heri kupata mwanamke mwenye tabia zinazorekebishika lakini mzuri wa sura kuliko kinyume chake
 
Back
Top Bottom