namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,434
- 945
hehehehe...Sina jibu ndio maana![]()
hivyo wacha tu nikimbie
hehehehe...Sina jibu ndio maana![]()
hivyo wacha tu nikimbie
aaaaaa! acha hizo wewe, ulichomfundisha mwenzako kina ukwelikunguni=bed dog
Isiwe kesi funga gheto lake mchukue kaa naeanapendwa sana tu
tena jana alipiwa dawa chumba chake so kalala kwangu leo!
Wewe ulifikiri wote tunaishi mbezi beach? Wengine tunaishi kwa mtogole nyumba tunashare na panya,kunguni,viroboto,kuku,utitiri...Yani mpaka mwili umesisimka kuna watu cjui wanaishi sayari gn?am proud kuishi Mbezi beach